Muongo huyo na mbabaishaji!! fanya hivi Jaza gari yako mafuta full tank!! fanya safari zako za kwaida kazini, Kariakoo then, Home, angalia ulaji wake wa mafuta!!! je ukoje?
Pili yakiisha hayo ya full tank sasa weka mafuta Robo tank, linganisha na gari inapokuwa full tank kwa safari zako unazo fanya!! Ni hivi gari ikiwa nzito inakita barabarani vizuri, inasesereka kwa kasi nzuri, ikiwa nyepesi haina uzito inaruka ruka tu!! haikiti barabara vizuri! inapiga kelele kwa mbaali na kutetema kochoko!!!chokocho!!!
jaribu kubeba Mzigo, Viroba vya mchanga au abiria wanene (miji Mama) uone gari inavotulia barabarani, hilo moja!! yaani hapa nakupa neno na ujipime kabisaa kama nilivo kwambia, hata km upo mkoani kadiria halafu fanya hivo ulipime gari lako ulajiwake.
la pili Mpendwa Nitumie picha yako in Box, km hutajali unionyeshe Miguu yako kuanzia kwenye Magoti kwenda chini nikushauri kitu!!! but asikuone mtu lkn!! unachofanya haya ni mambo yetu tu sisi wawili hapa nina maana kuwa ...
Km Miguu yako ni mizito/minene Ile miguu ya Bia Gari yako itakula mafuta sana, kuendana na ukandamizaji wako, kwa sababu una kandamiza accerelator kwa uzito wa guuu bila kujua, hence more unnecessary fuel consumptions,
Pale unachotakiwa kufanya ni kukanyaga kiiiduuuchu km unaibia vile !!!, yaani vidole tu!! ukiiwezea hii art na kwambia nitakuwa nimeroga kabisaaa gari yako!! na utasave hela nyingi za kula chips kazini. hakika utanenepa!
So then gari ikikita na kukamata speed unakuwa km unatoa mguu wako hivi taatibu mno!! kwa kupandisha kamguu juu! yaani km hutaki kuikanyaga kimkandamizo, Labda nikujuze hao wanao sema eti full tank inakula sana mafuta miguu yao ni mizito mno,
Labda kabla sijaendelea na mengine weka akilini kwamba kuendesha gari lolote na mahali popote pale kwa mafanikio na kwa matokeo yeyote yale mazuri yasiyo kuumiza it's an art !!! born with Talent,
ambayo pia unaweza ku-i acquire kutoka kwa watu wengine, km mimi hapa navo kueleza. that's why Utaona Magari ya Halmashauri ya wilayani kwenu yanatofautiana kwa ubora kutoka Dereva mmoja na mwingine,
wakati magari yote hayo yamenunuliwa Mwaka mmoja Kampuni moja, na aina moja, lkn ajabu sasa la huyu lina chakaa mapema na la huyu km jipya vile! na yanafanya kazi moja ileile ya kupeleka chanjo Milimani huko!!! kwa nini?
sometimes wao hao Drivers si wepesi kufanya maamuzi garini pia si wepesi wa kulegezea mzigo wa uzito kwa accerelator, yaani akikanyaga ni amekanyaga guu lote anauma na meno, utadhani anaikomoa gari!! wengine ni maumbile akikanyaga ni amekanyaga.
kwa kufanya hivi kukanyagia sana kule kwa engine Mafuta lazima yaende kuungua kwa kasi isiyo ya lazima!! jifunze kuibia ibia kukanyaga accelerator ndo dawa mwanana kuzuia consumption ya mafuta,
ukitaka kuamini nayokwambia unaweza kulipima hili jambo langu nalo kwambia,kirahisi sana!! kwakutumia gari yako hiyo hiyo.....fanya hivi....kwa safari moja au mbili...
Angalia level ya mafuta!! yale yale anayo tumia Mkeo/Mmeo kwenda Temeke/Mbezi beach!! atatumia zaidi ya lita moja!! na mafuta hayo hayo kwa kiwango hicho hicho, ukifuata utaratibu wangu huu utaona ume tumia robo lita tu! kwenda na kurudi Temeke ukitokea Mbezi beach!.
Jua wazi kuwa Evaporation rate! pia inachangia sana ulaji wa mafuta ktka gari lako, kwa sababu kunanafasi imeachwa wazi katika tank la mafuta, Huyo jamaa ulie mjibu hapo juu amaelinganisha ulaji wa mafuta ya gari na n ndege!!! si kweli!! hata kidogo,
Ndege inatumia mafuta mengi wakati wa kupaa na kutua tu Baas! ni hivi ndege ikiwa angani ni nyepesi mno km unyoya wa kuku Mdada Mdogo tu! km wewe una weza hata kuipiga kofi moja tu! ikayumba ile mbaya!
Hii ni sayansi ya form two na tuliisoma kwenye Jr Physics, ila watu hawazingatii walojifunza!! au wamesahau ajili ya kunywa ulanzi wenye chumvi, sometimes Mafuta kwa ndege yanapunguzwa purposely ajili ya usalama na ajali zinazo weza tokea!
Yangu ni hayo tutaonana in box