Ukiwa unaweka mafuta full tank inapunguza ulaji wa mafuta kwenye gari?

Hakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri yafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.

Kihesabu tunasema fuel consumption is directly proportional to fuel level in the tank; C = kL, where C = fuel consumption rate, k = constant of proportionality, na L ni fuel level in the tank. Hiyo "k" ni assumption kwamba factors nyingine hazibadiliki, mfano idadi ya abiria ndani ya gari. Au kwa njia rahisi ni kwamba, rate ya consumption ya mafuta iko directly proportional na uzito wa gari. Kwa hiyo kadiri unavyojaza tank ndivyo unavyoongeza uzito wa gari na ndivyo gari itakula mafuta zaidi. Ulaji wa mafuta utapungua kadiri mafuta kwenye tank yanavyopungua, au kadiri uzito wa gari (load) unavyopungua.

Hiyo pia ndio sababu ndege haziweki full tank zinaporuka kwenda safari fulani, wanaweka mafuta yatakayotosha kuwafikisha wanapokwenda, na ziada kidogo ya emergency

Ndio maana unashauriwa usiweke vitu usivyohitaji kwenye buti ya gari kwa kuwa inafanya gari itumie mafuta zaidi. Utakuwa umesikia watu wakisema magari ya siku hizi ni karatasi sana tofauti na ya zamani - ni kweli na hilo lilifanyika ili kupunguza uzito wa gari ili lisitumie mafuta kwa wingi.
Hii ndio huwa tunaita over thinking. Enzi zile tuko tuko shule kwenye Math unakuta mtu amekokotoa karatasi nzima halafu kapata 2/10.

Kitaalam haya mawazo uliyotoa tunaweza kusema UMECHOPEKA.

Hebu tukuulize
Kwa mfano IST FULL TANK ni lita ngapi?? Convert hizo lita kwa kg, halafu linganisha na uzito wa mtu mzima mmoja Tuambie kama huo uzito ukiamua kupunguza nusu yake utaokoa mafuta kiasi gani?

Usilinganishe load ya mafuta ya ndege na ya gari. Ndege inaweza kubeba mafuta yenye uzito mkubwa unaweza Kufikia 1/3 ya uwezo wake wa kubeba mzigo. Lakini hakuna gari inayoweza kubeba mafuta yake yenyewe yenye uzito wa 1/3 ya uwezo wa gari.
 
Mkuu kwa kuuliza kuwa full tank ni lita ngapi inaonyesha wazi kwamba umekuja kubisha bila kujua hata haya mambo ya magari. Unabisha tu kwa kuwa una nafasi ya kufnya hivyo. Full tank capacity za magari zinapishana kwa kila aina ya gari, kwa hiyo kuuliza full tank ni lita ngapi haina lojiki.

Labda tuanzie gari kama Nissan Patrol. Inachukua lita 90 kuwa full tank, ambazo kwa kiasi ni kama Kg 90. Njoo BMW. Lita kama 7o, kilo 70. Halafu hizi IST labda full tank litre 45 sana na karibu kilo 45. Sasa unaniambia huo uzito si hoja?

Halafu, kama umesoma hii thread, umeshapewa hadi reference ya watu walifanya utafiti tasmi juu ya hili, wewe unakuja na point zako yeboyebo hapa.
 
Mkuu kwa kuuliza kuwa full tank ni lita ngapi inaonyesha wazi kwamba umekuja kubisha bila kujua hata haya mabo ya magari. Unabisha tu kwa kuwa una nafasi ya kufnya hivyo. Full tank capacity za magari zinapisha kwa kila aina ya gari, kwa hiyo kuuliza full tank ni lita ngapi haina lojiki.

Labda tuanzie gari kama Nissan Patrol. Inachukua lita 90 kuwa full tank, ambazo kwa kiasi ni kama Kg 90. Njoo BMW. Lita kama 7o, kilo 70. Halafu hizi IST labda full tank litre 45 sana na karibu kilo 45. Sasa unaniambia huo uzito si hoja?

Halafu, kama umesoma hii thread, umeshapewa hadi reference ya watu walifanya utafiti tasmi juu ya hili, wewe unakuja na point zako yeboyebo hapa.
Masikini!!

Nadhani wewe ndio huna uzoefu wa magari kabisa, you just talking from uncorrelation theories. Unachukua theories za ndege unaleta kwenye gari kweli 😂😂😂

Ingekuwa unachokiongea ni sahihi tusingekuwa na sababu ya kujaza full tank kwenye mabasi yetu yanayotoka mkoa mmoja kwenda mwingine.

Ndege inabeba tones of litres, gari kubwa linalobeba 30 tones linabeba litre 200 tu. Sasa 200kg kwa 30 tones wapi na wapi??? Yaan hata ukizidisha mzigo kwenye mzani huwezi uka opt kupunguza mafuta ili ubalance uzito wa mzigo.

Ungekuwa unajua unachokiongea kwenye hiyo hesabu yako ungefanya hivi: Baada ya zile hesabu zako za ndege Unge sample gari moja halafu halafu ukatupatia hesabu zako. Ungetuambia kabisa ukiweka 45/90 tutasave mafuta kiasi gani kwa Km moja.
 
Masikini!!

Nadhani wewe ndio huna uzoefu wa magari kabisa, you just talking from uncorrelation theories. Unachukua theories za ndege unaleta kwenye gari kweli 😂😂😂

Ingekuwa unachokiongea ni sahihi tusingekuwa na sababu ya kujaza full tank kwenye mabasi yetu yanayotoka mkoa mmoja kwenda mwingine.

Ndege inabeba tones of litres, gari kubwa linalobeba 30 tones linabeba litre 200 tu. Sasa 200kg kwa 30 tones wapi na wapi??? Yaan hata ukizidisha mzigo kwenye mzani huwezi uka opt kupunguza mafuta ili ubalance uzito wa mzigo.
Wewe poyoyo sana! Eti ndege inabeba tani 30 za mafuta na gari kubwa lita ishirini tu. Sasa kama ungekuwa na akili kama unavyodai, ungeelewa kwamba kama ukikubali hii theory ni kweli kwa ndege basi ni kweli kwa magari. Unachotakiwa kufanya ni kuingiza factor ya uzito wa ndege kwa uzito wa gari, na kutumia hiyo ratio katika kuangalia fuel capacity ya ndege kwa fuel capacity ya gari. Yaani scale down the the aircraft weight to fuel capacity ratio to the vehicle weight to fuel capacity ratio and see what you get.

Lakini kwa sababu ulikimbia shule huwezi kuelewa utabisha tu kipoyoyo
 
Mkuu Jitahidi kusoma vizuri ili uelewe. Itakusaidia kuwa staha kwa wenzio.

Hakuna sababu ya kutumia maneno yasiyo na staha.

Kama umesoma kwa ufasaha ni wapi nimesema ndege inabeba tones 30, ni wapi nimesema gari inabeba ishirini.

Halafu bora nikimbie shule kuliko kwenda hii shule uliyoenda wewe.
 
Una trivialize hoja. Iwe umesema ndege inabeba mafuta tani 30 au 10 za mafuta au ngapi sio hoja kuu hapo, suala ni kwamba mfano wako ni wa kipoyoyo na uliutoa ili kunionyesha mie sijui na unastahili jibu nililokupa. Shule yangu ni UDSM. Sasa kama uliikimbia na kwenda "equivalents" nadhani hapo ndio tatizo lako lipo.
 
Duniani kote Magari yananendeshwa Kwa full tank hata manufacturers wanashauri gari iendeshwe ikiwa full tank...
Faida ya Kwanza...
(1) engine inapoa vizuri
(2)fuel pump inafanya kazi vizuri na itadumu
(3)kiwango cha upepo Kwenye tank unapungua
(4) performance ya gari inakuwa ya Hali juu kuliko empty tank pia kumbuka gari ikiwa full tank inakuwa na Flo nzuri ya mafuta kutoka Kwenye tank Hadi Kwenye nozzle

Hiyo habari ya kusababisha uzito ni uongo pia gari yeyote ukitaka iwe na performance kubwa lazima iwe na uzito ndiyo maana baadhi ya watu wakiendesha Magari pekeyao wanabeba mpaka kiloba cha mchanga ili gari litulie barabaran

Dah....wabongo bana...mleta mada kauliza swali rahisi kuhusu ujazo wa tenki la mafuta unavyoleta athari kwenye utumiaji wa mafuta kwa gari... wewe umeleta stori nyingi zisizo na ushahidi wa kisayansi....
Uhusiano wa injini kupoa na ujazo wa mafuta kwenye tanki ukoje?
Performance ya gari ni nini?
Ili mafuta yaunguzwe ndani ya injini hewa pia lazima iwepo. Unafahamu mifumo ya uchomaji mafuta ndani ya injini? (Kabureta, EFI, Tabo chaja nk)?
Kwa kifupi mafuta ni nishati. Nishati ni uwezeshaji wa kufanya kazi. Uzito na misuguano vina athari kubwa kwenye matumizi ya nishati...
Usikariri....elewa [emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Una trivialize hoja. Iwe umesema ndege inabeba mafuta tani 30 au 10 za mafuta au ngapi sio hoja kuu hapo, suala ni kwamba mfano wako ni wa kipoyoyo na uliutoa ili kunionyesha mie sijui na unastahili jibu nililokupa. Shule yangu ni UDSM. Sasa kama uliikimbia na kwenda "equivalents" nadhani hapo ndio tatizo lako lipo.
Uwezo wako wa kusoma na kuelewa ni mdogo kama wa kuandika pia.

Kwa kifupi wewe ni mjinga.
 
Hakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri yafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.

Kihesabu tunasema fuel consumption is directly proportional to fuel level in the tank; C = kL, where C = fuel consumption rate, k = constant of proportionality, na L ni fuel level in the tank. Hiyo "k" ni assumption kwamba factors nyingine hazibadiliki, mfano idadi ya abiria ndani ya gari. Au kwa njia rahisi ni kwamba, rate ya consumption ya mafuta iko directly proportional na uzito wa gari. Kwa hiyo kadiri unavyojaza tank ndivyo unavyoongeza uzito wa gari na ndivyo gari itakula mafuta zaidi. Ulaji wa mafuta utapungua kadiri mafuta kwenye tank yanavyopungua, au kadiri uzito wa gari (load) unavyopungua.

Hiyo pia ndio sababu ndege haziweki full tank zinaporuka kwenda safari fulani, wanaweka mafuta yatakayotosha kuwafikisha wanapokwenda, na ziada kidogo ya emergency

Ndio maana unashauriwa usiweke vitu usivyohitaji kwenye buti ya gari kwa kuwa inafanya gari itumie mafuta zaidi. Utakuwa umesikia watu wakisema magari ya siku hizi ni karatasi sana tofauti na ya zamani - ni kweli na hilo lilifanyika ili kupunguza uzito wa gari ili lisitumie mafuta kwa wingi.
Nataka nikuulize swali wanaposema gari hii fuel consumption yake ni 8km/l from factory je hapo wanapiga hesabu gari ikiwa robo tank nusu tank? Full tank je wanapiga hesabu ikiwa na full load capacity au least load capacity?
 
Hiyo ni average consumption unapewa, na mara nyingi minimum consumption na katika ideal conditions. Kataika matumizi ya kawaida lazima utakula zaidi ya wanavyosema
 
Asante Sana blaza
Hakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri yafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.

Kihesabu tunasema fuel consumption is directly proportional to fuel level in the tank; C = kL, where C = fuel consumption rate, k = constant of proportionality, na L ni fuel level in the tank. Hiyo "k" ni assumption kwamba factors nyingine hazibadiliki, mfano idadi ya abiria ndani ya gari. Au kwa njia rahisi ni kwamba, rate ya consumption ya mafuta iko directly proportional na uzito wa gari. Kwa hiyo kadiri unavyojaza tank ndivyo unavyoongeza uzito wa gari na ndivyo gari itakula mafuta zaidi. Ulaji wa mafuta utapungua kadiri mafuta kwenye tank yanavyopungua, au kadiri uzito wa gari (load) unavyopungua.

Hiyo pia ndio sababu ndege haziweki full tank zinaporuka kwenda safari fulani, wanaweka mafuta yatakayotosha kuwafikisha wanapokwenda, na ziada kidogo ya emergency

Ndio maana unashauriwa usiweke vitu usivyohitaji kwenye buti ya gari kwa kuwa inafanya gari itumie mafuta zaidi. Utakuwa umesikia watu wakisema magari ya siku hizi ni karatasi sana tofauti na ya zamani - ni kweli na hilo lilifanyika ili kupunguza uzito wa gari ili lisitumie mafuta kwa wingi.
 
Kivipi? Mafuta yapo nyuma kwenye tank na engine ipo mbele, vipi uwepo wa mafuta mingi kwenye tank inapoza engine?

Inatosha fuel pump kuvuta mafuta bila kuwepo hewa ndani yake, you dont need full tank ama half tank ama quarter tank kwa fuel pump kuvuta mafuta bila kupata matatizo.

Upepo huo unaleta shida gani kwenye tank ikiwa fuel pump inavuta mafuta tu? As long as the inlet pipe iko submerged kwenye fuel hakuna tatizo..

Hakuna ukweli wowote kwenye hili kuwa eti perfomance inakuwa ipo juu ukiwa na full tank. Narudia pale pale, as long as the pump inasukuma only fuel basi flo iko fresh na perfomance iko pale pale.

Clearly hujui perfomance. Ushawahi kuona kwenye drag race mtu anaongeza load kwenye gari ili iwe nzito? Zile F1 cars wanaweka kitu gani kizito? Perfomance cars zote zinatengenezwa kwa kupunguza uzito. Uzito unaongeza unywaji wa mafuta. Suala la stability ni suspension na weight distribution. Jitolee mfano wewe tu, ubebe kiroba chenye saruji afu uambiwe ukimbie na uwe hujabeba kitu ukimbie, in which situation utakimbia fasta na utafika mbali?
Daaah![emoji119][emoji119][emoji119][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa experience yangu ya kujaza mafuta full tank nimegundua kwamba ukijaza full tank mafuta hayaendi mengi. Kwa mfano mi nikijaza gari yangu full na nikashindilia kabisa nikiwa natoka dodoma kuja dar natembeaga hadi Morogoro ule mshale wa full ukiwa haujashuka. Hii picha hapa nilikuwa nimetoka Dodoma na hapo nilikuwa chalinze ndo mshale ukawa hivyoView attachment 1811016
Dah...unaijua construction ya tenki mkuu ?
 
Ni ukweli mafuta yakiwa mengi unatembea km nyingi hii ni kwa sababu tank inakuwa haina hewa nyingi ambayo husababisha evaporation kutokana na joto na uchache wa mafuta.Mfano tia mafuta Lita kumi endapo gari itazima kabisa halafu angalia km ulizotembea zitakuwa chache ukilinganisha na gari ambayo INA full tank halafu tembea km za Lita kumi wakati gari ilipozima kwa kukosa mafuta jibu litakuja ulaji baada ya full tank ni km za kutosha kuliko za awali.
case closed. Hili ndo jibu. Kama mtu hajakuelewa hapa basi ana shida kichwani.
 
Hakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri yafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.

Kihesabu tunasema fuel consumption is directly proportional to fuel level in the tank; C = kL, where C = fuel consumption rate, k = constant of proportionality, na L ni fuel level in the tank. Hiyo "k" ni assumption kwamba factors nyingine hazibadiliki, mfano idadi ya abiria ndani ya gari. Au kwa njia rahisi ni kwamba, rate ya consumption ya mafuta iko directly proportional na uzito wa gari. Kwa hiyo kadiri unavyojaza tank ndivyo unavyoongeza uzito wa gari na ndivyo gari itakula mafuta zaidi. Ulaji wa mafuta utapungua kadiri mafuta kwenye tank yanavyopungua, au kadiri uzito wa gari (load) unavyopungua.

Hiyo pia ndio sababu ndege haziweki full tank zinaporuka kwenda safari fulani, wanaweka mafuta yatakayotosha kuwafikisha wanapokwenda, na ziada kidogo ya emergency

Ndio maana unashauriwa usiweke vitu usivyohitaji kwenye buti ya gari kwa kuwa inafanya gari itumie mafuta zaidi. Utakuwa umesikia watu wakisema magari ya siku hizi ni karatasi sana tofauti na ya zamani - ni kweli na hilo lilifanyika ili kupunguza uzito wa gari ili lisitumie mafuta kwa wingi.
Usifananishe ndege na ndege na magari Boss.

1. Airbus A380 ina uzito wa 360,000Kg na ina uwezo wa kubeba 103,000Kg za mafuta.

2. Range Rover Vogue L405 ina uzito 2500Kg na uwezo wa kubeba 70Kg tu za petrol sababu ndio full tank yake.

Kama unajua hesabu ukipiga ratio hapo utaona utaona utofauti uliopo.
 
Sasa huo ndio uongo wa hali ya juu!

1. Joto la injini na mafuta kuna uhusiano gani?
2. Fuel pump unaweza kuihavibu unapoendesha gari hadi mafuta yaishe kabisa kila wakati, sio kwa kuwa gari ina nusu tenki. Ndio maana kuna gari injini itakata kabla mafuta hayajakauka kabisa kwenye teki.
3. Upeopo kutoka wapi? Una maana hewa? Nani kasema tank lina vacuum juu ya mafuta?
5. Acha uongo. Mafuta hayaendi kwenye injini toka kwenye tanki kwa gravity, yanaenda kwa nguvu ya pump. Hiyo flow unayosema inaenda vizuri ikiwa una full tank basi gari zingekuwa zinazima unapopanda mlima mrefu.

Umejionyesha ulivyo mjinga, unakimbilia kuwaita watu waongo kumbe huna kitu kichwani.
We jamaa ni mweupe tayari mpaka hapo. Hilo swali lako namba moja linakuaibisha.

Hivi unajua petrol inakuwa vapour katika joto lipi?

Katika joto la -40° C petrol inaweza kuevaporate.

Unajiabisha.
 
Sasa huo ndio uongo wa hali ya juu!

1. Joto la injini na mafuta kuna uhusiano gani?
2. Fuel pump unaweza kuihavibu unapoendesha gari hadi mafuta yaishe kabisa kila wakati, sio kwa kuwa gari ina nusu tenki. Ndio maana kuna gari injini itakata kabla mafuta hayajakauka kabisa kwenye teki.
3. Upeopo kutoka wapi? Una maana hewa? Nani kasema tank lina vacuum juu ya mafuta?
5. Acha uongo. Mafuta hayaendi kwenye injini toka kwenye tanki kwa gravity, yanaenda kwa nguvu ya pump. Hiyo flow unayosema inaenda vizuri ikiwa una full tank basi gari zingekuwa zinazima unapopanda mlima mrefu.

Umejionyesha ulivyo mjinga, unakimbilia kuwaita watu waongo kumbe huna kitu kichwani.
I am sorry. Hapa umeandika ugoro tupu.
 
Back
Top Bottom