Ukiwa unaweka mafuta full tank inapunguza ulaji wa mafuta kwenye gari?

Hakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri yafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.

Kihesabu tunasema fuel consumption is directly proportional to fuel level in the tank; C = kL, where C = fuel consumption rate, k = constant of proportionality, na L ni fuel level in the tank. Hiyo "k" ni assumption kwamba factors nyingine hazibadiliki, mfano idadi ya abiria ndani ya gari. Au kwa njia rahisi ni kwamba, rate ya consumption ya mafuta iko directly proportional na uzito wa gari. Kwa hiyo kadiri unavyojaza tank ndivyo unavyoongeza uzito wa gari na ndivyo gari itakula mafuta zaidi. Ulaji wa mafuta utapungua kadiri mafuta kwenye tank yanavyopungua, au kadiri uzito wa gari (load) unavyopungua.

Hiyo pia ndio sababu ndege haziweki full tank zinaporuka kwenda safari fulani, wanaweka mafuta yatakayotosha kuwafikisha wanapokwenda, na ziada kidogo ya emergency

Ndio maana unashauriwa usiweke vitu usivyohitaji kwenye buti ya gari kwa kuwa inafanya gari itumie mafuta zaidi. Utakuwa umesikia watu wakisema magari ya siku hizi ni karatasi sana tofauti na ya zamani - ni kweli na hilo lilifanyika ili kupunguza uzito wa gari ili lisitumie mafuta kwa wingi.
Asante sana mkuu🙏🙏🙏
 
Hii dunia ina watu waongo kiasi hiki?
Sio Uongo Soma Hapa mkuu!
One study by consultants Ricardo Inc examined the effect of extra weight on fuel economy.

Roughly, it found the fuel economy increases by between 1% and 2% for every 100 pounds (43.5 kg) of weight added inside the car. This figure does not factor in any extra weight outside of the car, such as roof racks, trailers or sidecars.

Suppose we took the upper limit, 2%, and assumed a full tank of 60L in a car that is rated at 8L/100km (a typical family car).

Crunching the numbers​

Since petrol has a density of roughly 720 grams/L the weight of the full tank of fuel is about 43.2kg. So, roughly, your fuel efficiency will drop to 8 x (1 + 0.02 x 43.2/43.5), which is roughly 8.16L/100km.

As you drive, you use up some fuel, and hence carry less weight in the car. When you have used half a tank your fuel efficiency is now roughly 8.08L/100km: the car is travelling more efficiently than it was with a full tank.
 
Maswali yako mengi hapa mtaalamu
1. Fuel consumption kwa gari husika huwa inakadiria gari ikiwa na mzigo wote inayopaswa kubeba?

2. Fuel consumption huwa inapigwa kwa kuzingatia hali zote za barabara wakati gari ikiwa na mzigo inayostahili kubeba?

3. Ukiwa na tank la lita 10,000 katika umbali wa mita 3 toka ardhini, ukalijaza full, ukianza kutumia maji kutoka kwenye tank hilo, pressure ya maji wakati tank liko full na wakati liko nusu au robo ya mwisho kuisha inakuwa sawa?

4. Ukiwa na closed circuit tuseme ya maji ambayo iko pressurized kwa 3bar, ukaamua kutoa maji kwa kufungua point moja tu ya kutolea maji, maji yote yatatoka?

5. Ni wakati gani pump ya mafuta ina effect kubwa zaidi kwenye uvutaji wa mafuta, full tank au half or one fourth of tank?
 
Hiyo paragraph ya kwanza ina inabidi mtu aelewe kuwa fuel economy ya 10L/100km ni kubwa kuliko ya 9L/100km, ukizingatia alichosema kwenye paragraph ya pili, ndio maana kasema "Roughly, it found the fuel economy increases by between 1% and 2% for every 100 pounds (43.5 kg) of weight added inside the car. This figure does not factor in any extra weight outside of the car, such as roof racks, trailers or sidecars.

Paragraph ya pili inasema kile nilichosema, sawa kabisa kwa gari aliyofanyia huu utafiti;
  • Full tank anakula lita 8.16 kwa 100km.
  • Half tank anakula lita 8.08 kwa 100km:
 
Hii dunia ina watu waongo kiasi hiki?
Numbers unazoziona zinatolewa na makampuni ya magari huwa zina-include a full tank na dereva mmoja asiezidi kilo 75.

Mfano 0-100kph BMW M5 Competition wanaweza kuambia inachukua 3.1 seconds. Ila independent tester anaweza chukua 3 au 2.9 seconds.

Independent testers wanaweka nusu tank na dereva asiefikisha kilo 75.

Ndo maana unakuta results za independent tester zinakuwa juu ya takwimu zinazotolewa na kampuni husika.

Kuna independent tester 1 nimeshamuona anataka gari yake ifike quarter mile below 10 seconds. Ikabidi apunguze mafuta nusu ya tenk ili afikishe malengo yake.

Au mfano mwingine mrahisi, ukiwa unasafiri toka Dar to Arusha ukiwa mwenyewe utapata better fuel figures kuliko ubebe watu wanne kwenye gari hilohilo nauendeshe vilevile ulivyoendesha mwanzo.
 
Maswali yako mengi hapa mtaalamu
1. Fuel consumption kwa gari husika huwa inakadiria gari ikiwa na mzigo wote inayopaswa kubeba?

2. Fuel consumption huwa inapigwa kwa kuzingatia hali zote za barabara wakati gari ikiwa na mzigo inayostahili kubeba?

3. Ukiwa na tank la lita 10,000 katika umbali wa mita 3 toka ardhini, ukalijaza full, ukianza kutumia maji kutoka kwenye tank hilo, pressure ya maji wakati tank liko full na wakati liko nusu au robo ya mwisho kuisha inakuwa sawa?

4. Ukiwa na closed circuit tuseme ya maji ambayo iko pressurized kwa 3bar, ukaamua kutoa maji kwa kufungua point moja tu ya kutolea maji, maji yote yatatoka?

5. Ni wakati gani pump ya mafuta ina effect kubwa zaidi kwenye uvutaji wa mafuta, full tank au half or one fourth of tank?
Kwa maswali yako haya inabidi kwanza nikupeleke VETA, maana umeuliza maswali ambayo kwa kweli uko mbali sana na ufahamu wa magari. Lakini ngoja nijaribu kukujibu;

Nimekuelewa. Good question. Sidhani, labda kwa gari za mizigo. Gari ya tani 7, wakisema fuel consumption ni 15l/100km ina make sense kwamba hiyo ndio consumption rate gari ikiwa na mzigo wa tani saba katika normal driving. Kwa gari ndogo za abiria mara nyingi consumption ni ukiwa dereva peke yako bila mzigo, kwa hiyo kwa kiasi fulani watakuwa wanadanganya.

2. Fuel consumption huwa inapigwa kwa kuzingatia hali zote za barabara wakati gari ikiwa na mzigo inayostahili kubeba?
Swali halieleweki
Lakini kama una maana fuel consumption inapimwaje, ni kwamba zile zinazoonyeshwa kwenye gari huwa unapewa wastani kwa driving ambayo hauko kwenye rough road na ya lami (normal driving). Kumbuka, kiwango kizuri cha kujua wastani wa fuel fuel consumption yako ni wakati uko spidi kati ya 80-100km/hr. Ukiendesha mwendo taratibu sana unakuwa unatumia gia kubwa na gari inakula mafuta zaidi. Ukiendesha kwa kasi sana, unapopita spidi ya 110km/hr injini inafanya kazi zaidi kwa hiyo inahitaji mafuta zaidi.

3. Ukiwa na tank la lita 10,000 katika umbali wa mita 3 toka ardhini, ukalijaza full, ukianza kutumia maji kutoka kwenye tank hilo, pressure ya maji wakati tank liko full na wakati liko nusu au robo ya mwisho kuisha inakuwa sawa?
Pressure inakuwa kubwa wakati tenki limejaa. Lakini hapa unaongolea flow ya maji kwa kutumia gravity. Gari hazipeleki mafuta kwenye injini kwa kutumia gravity, zinatumia fuel pump. Kwa hiyo hii theory yako hai-apply kwenye gari

4. Ukiwa na closed circuit tuseme ya maji ambayo iko pressurized kwa 3bar, ukaamua kutoa maji kwa kufungua point moja tu ya kutolea maji, maji yote yatatoka?
Hapa unaongelea juu ya flow effect ya atmospheric pressure na pressure head kwenye container. Ukiweka maji kwenye kopo ukatoboa tundu moja juu moja chini, maji yatatoka ikiwa matundu yote yako wazi. Ukiziba tundu la juu hayatatoka. Pressure head ikiwa sawa na atmospheric pressure kwenye tundu la chini asi maji hayatatoka. Sababu mojawapo ni kwamba unakuwa ume create vacuum juu ya maji ndani ya kopo. Ukiondoa kidole tundu la juu unaua effect ya vacuum, na pressure ya chini ya kopo ni atmospheric pressure + pressure head ya container, na maji yanaanza kutoka tena tundu la chini. Mfumo wa mafuta ya gari umetengenezwa kwa kutoruhusu kutengeneza vacuum mafuta yanapopungua.

5. Ni wakati gani pump ya mafuta ina effect kubwa zaidi kwenye uvutaji wa mafuta, full tank au half or one fourth of tank?
Effect ya pump ya mafuta iko vilevile, uwe na full tank au half tank. Iko calibrated kunyonya kiasi kile kile cha mafuta, na kama ikiathirika na mafuta kuwa nusu au full tank imeharibika, peleka gari gereji
 
Kwa maswali yako haya inabidi kwanza nikupeleke VETA, maana umeuliza maswali ambayo kwa kweli uko mbali sana na ufahamu wa magari. Lakini ngoja nijaribu kukujibu;

1. Fuel consumption kwa gari husika huwa inakadiria gari ikiwa na mzigo wote inayopaswa kubeba?
Swali halieleweki

2. Fuel consumption huwa inapigwa kwa kuzingatia hali zote za barabara wakati gari ikiwa na mzigo inayostahili kubeba?
Swali halieleweki
Elimu ya magari ni compulsory kwa kila mtu hata niende VETA?

Unajua nini kuhusu elimu ya anga? Mwili wa binadamu? Miamba na bahari? N.k

Maana KUU ya mtu kuuliza swali si kukupima wewe uliyebobea, ni kutaka kujifunza kutokana na ulichobobea, kama kupima ulishapimwa na walimu wako kwenye mitihani waliyokupa.
 
Duniani kote Magari yananendeshwa Kwa full tank hata manufacturers wanashauri gari iendeshwe ikiwa full tank...
Faida ya Kwanza...
(1) engine inapoa vizuri
(2)fuel pump inafanya kazi vizuri na itadumu
(3)kiwango cha upepo Kwenye tank unapungua
(4) performance ya gari inakuwa ya Hali juu kuliko empty tank pia kumbuka gari ikiwa full tank inakuwa na Flo nzuri ya mafuta kutoka Kwenye tank Hadi Kwenye nozzle

Hiyo habari ya kusababisha uzito ni uongo pia gari yeyote ukitaka iwe na performance kubwa lazima iwe na uzito ndiyo maana baadhi ya watu wakiendesha Magari pekeyao wanabeba mpaka kiloba cha mchanga ili gari litulie barabaran
Sasa huo ndio uongo wa hali ya juu!

1. Joto la injini na mafuta kuna uhusiano gani?
2. Fuel pump unaweza kuihavibu unapoendesha gari hadi mafuta yaishe kabisa kila wakati, sio kwa kuwa gari ina nusu tenki. Ndio maana kuna gari injini itakata kabla mafuta hayajakauka kabisa kwenye teki.
3. Upeopo kutoka wapi? Una maana hewa? Nani kasema tank lina vacuum juu ya mafuta?
5. Acha uongo. Mafuta hayaendi kwenye injini toka kwenye tanki kwa gravity, yanaenda kwa nguvu ya pump. Hiyo flow unayosema inaenda vizuri ikiwa una full tank basi gari zingekuwa zinazima unapopanda mlima mrefu.

Umejionyesha ulivyo mjinga, unakimbilia kuwaita watu waongo kumbe huna kitu kichwani.
 
Hiyo ni figurative and humorous language acha kuchemka
 
Maswali yako mengi hapa mtaalamu
1. Fuel consumption kwa gari husika huwa inakadiria gari ikiwa na mzigo wote inayopaswa kubeba?

2. Fuel consumption huwa inapigwa kwa kuzingatia hali zote za barabara wakati gari ikiwa na mzigo inayostahili kubeba?

3. Ukiwa na tank la lita 10,000 katika umbali wa mita 3 toka ardhini, ukalijaza full, ukianza kutumia maji kutoka kwenye tank hilo, pressure ya maji wakati tank liko full na wakati liko nusu au robo ya mwisho kuisha inakuwa sawa?

4. Ukiwa na closed circuit tuseme ya maji ambayo iko pressurized kwa 3bar, ukaamua kutoa maji kwa kufungua point moja tu ya kutolea maji, maji yote yatatoka?

5. Ni wakati gani pump ya mafuta ina effect kubwa zaidi kwenye uvutaji wa mafuta, full tank au half or one fourth of tank?
Fuel Economy Factors

The following factors can lower your

vehicle’s fuel economy:

  • Aggressive driving (hard acceleration and braking)
  • Excessive idling, accelerating and braking in stop-and-go traffic
  • Cold engine operation (engines are more efficient when warmed up)
  • Driving with a heavy load or the air conditioner running
  • Improperly inflated tires
From Honda Owner’s manual
Kwa hyo kama gari imetenegenezwa kubeba kilo 500 lakini ukabeba kilo 100 bila shaka itapunguza ulaji wa mafuta kwa kuwa itakuwa imepunguza Resistance
 
Duniani kote Magari yananendeshwa Kwa full tank hata manufacturers wanashauri gari iendeshwe ikiwa full tank...
Faida ya Kwanza...
(1) engine inapoa vizuri
(2)fuel pump inafanya kazi vizuri na itadumu
(3)kiwango cha upepo Kwenye tank unapungua
(4) performance ya gari inakuwa ya Hali juu kuliko empty tank pia kumbuka gari ikiwa full tank inakuwa na Flo nzuri ya mafuta kutoka Kwenye tank Hadi Kwenye nozzle

Hiyo habari ya kusababisha uzito ni uongo pia gari yeyote ukitaka iwe na performance kubwa lazima iwe na uzito ndiyo maana baadhi ya watu wakiendesha Magari pekeyao wanabeba mpaka kiloba cha mchanga ili gari litulie barabaran
Engine inapoa vizuri kisa mafuta yapo full??? I Hii mpya.... As far as I know, fuel level is not part of the cooling system...

Fuel pump ipo affected na uchafu kwenye mafuta au kuvuta hewa.. Any level above sunction pipe is OK kwa gari.. Hayo ya full tank kuongeza efficiency ya fuel pump ni ramli hiyo

Tusisahau kuna fuel pump
 
Sasa huo ndio uongo wa hali ya juu!

1. Joto la injini na mafuta kuna uhusiano gani?
2. Fuel pump unaweza kuihavibu unapoendesha gari hadi mafuta yaishe kabisa kila wakati, sio kwa kuwa gari ina nusu tenki. Ndio maana kuna gari injini itakata kabla mafuta hayajakauka kabisa kwenye teki.
3. Upeopo kutoka wapi? Una maana hewa? Nani kasema tank lina vacuum juu ya mafuta?
5. Acha uongo. Mafuta hayaendi kwenye injini toka kwenye tanki kwa gravity, yanaenda kwa nguvu ya pump. Hiyo flow unayosema inaenda vizuri ikiwa una full tank basi gari zingekuwa zinazima unapopanda mlima mrefu.

Umejionyesha ulivyo mjinga, unakimbilia kuwaita watu waongo kumbe huna kitu kichwani.
Wajapan wa jamiiforum naona unazidi kujivua nguo Tu....
Sadala jaribu kujenga hoja matusi ni dalili ya kutojiamini
 
(1) engine inapoa vizuri
Kivipi? Mafuta yapo nyuma kwenye tank na engine ipo mbele, vipi uwepo wa mafuta mingi kwenye tank inapoza engine?

2)fuel pump inafanya kazi vizuri na itadumu
Inatosha fuel pump kuvuta mafuta bila kuwepo hewa ndani yake, you dont need full tank ama half tank ama quarter tank kwa fuel pump kuvuta mafuta bila kupata matatizo.

(3)kiwango cha upepo Kwenye tank unapungua
Upepo huo unaleta shida gani kwenye tank ikiwa fuel pump inavuta mafuta tu? As long as the inlet pipe iko submerged kwenye fuel hakuna tatizo..

(4) performance ya gari inakuwa ya Hali juu kuliko empty tank pia kumbuka gari ikiwa full tank inakuwa na Flo nzuri ya mafuta kutoka Kwenye tank Hadi Kwenye nozzle
Hakuna ukweli wowote kwenye hili kuwa eti perfomance inakuwa ipo juu ukiwa na full tank. Narudia pale pale, as long as the pump inasukuma only fuel basi flo iko fresh na perfomance iko pale pale.

Hiyo habari ya kusababisha uzito ni uongo pia gari yeyote ukitaka iwe na performance kubwa lazima iwe na uzito ndiyo maana baadhi ya watu wakiendesha Magari pekeyao wanabeba mpaka kiloba cha mchanga ili gari litulie barabaran
Clearly hujui perfomance. Ushawahi kuona kwenye drag race mtu anaongeza load kwenye gari ili iwe nzito? Zile F1 cars wanaweka kitu gani kizito? Perfomance cars zote zinatengenezwa kwa kupunguza uzito. Uzito unaongeza unywaji wa mafuta. Suala la stability ni suspension na weight distribution. Jitolee mfano wewe tu, ubebe kiroba chenye saruji afu uambiwe ukimbie na uwe hujabeba kitu ukimbie, in which situation utakimbia fasta na utafika mbali?
 
Sasa hapa ndio umeongea nini? Technical hai make sense? Full tank na empty tank? - utaendashaje gari na empty tank?

Na unaposema vyote vinategemea na mambo mengine huko ni kutoelewa mambo, kwa sababu msingi wa swali ni matumizi ya mafuta katika conditions zilizo sawa - aina ya barabara sawa speed sawa nk

Umeongea katika mazingira ya kijiweni afadhali tu ungekaa kimya. Kama vitu huvielewi sio lazima utoe comment
Hao ndio wale wajuaji wasiojua
 
Kwa experience yangu ya kujaza mafuta full tank nimegundua kwamba ukijaza full tank mafuta hayaendi mengi. Kwa mfano mi nikijaza gari yangu full na nikashindilia kabisa nikiwa natoka dodoma kuja dar natembeaga hadi Morogoro ule mshale wa full ukiwa haujashuka. Hii picha hapa nilikuwa nimetoka Dodoma na hapo nilikuwa chalinze ndo mshale ukawa hivyo
20210129_204816.jpeg
 
Back
Top Bottom