Ukiwa unaweka mafuta full tank inapunguza ulaji wa mafuta kwenye gari?

Kwa kukusaidia chukua hiyo hiyo 45 zidisha mara 0.7 halafu ukipata jibu jishike kifuani sema kwa sauti kuu "MIMI NI POYOYO"
Hapo hatukuwa tunaongelea accuracy ya kuzidisha, tulikuwa tunaongelea concept ya ujazo wa mafuta na uhusiano wake na uzito. Kwa mfano, kama gari inatumia diesel (0.85 kg/l) nikasema ukiweka lita 45 ni kama kilo 45, tatizo ni nini? Wewe unataka hadi nichukue calculator nikupe jibu kamili ndio utaelewa concept?
 
We jamaa ni mweupe tayari mpaka hapo. Hilo swali lako namba moja linakuaibisha.

Hivi unajua petrol inakuwa vapour katika joto lipi?

Katika joto la -40° Cpetrol inaweza kuevaporate.

Unajiabisha.
Kwa hiyo a cold petrol engine is more fuel efficient than a warm engine? What is the optimum engine temperature for efficient fuel consumption, 0° C?

Kakojoe ulale!
 
Top up kwenye full tank...ni kweli haili kiviile kama ya kigaloni

Speaking through experience

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hii analysis yako siyo sahihi from a logical point of view Witness,
Uhalisia ni kwamba ma-tank mengi ya magari yana umbo kama la bakuli.Chukua bakuli na kuijaza maji and then bakuli hyo uigawe height yake mara mbili ambapo utapata nusu mbili (Nusu ya juu na nusu ya chini),Maji ya nusu ya kwanza yamwage kwenye bakuli nyingine yenye ukubwa sawa na ambayo ina mark ya katikati sawa na bakuli uliyoitumia mwanzo.
-Matokeo
*Maji ya nusu ya juu ya bakuli ya kwanza yaliyohamishiwa kwenye bakuli nyingine yatakuwa mengi zaid kuliko yale yaliyokuwa chini mwa bakuli (In this case yatakuwa yanazid half mark ya nusu ya chini uliyoweka kwenye bakuli nyingine).
Hivyo basi kwenye gari-Nusu ya juu ya tank la mafuta huchelewa kuisha kuliko nusu ya chini ya tank.Na ukijaribu kuchunguza,wakati unajaza mafuta-Wakati unaanza kuweka gauge inaanza ku-shoot haraka sana lakini inapoanza ku-approach half ya juu na kuendelea gauge huanza kupanda taratibu kuliko mwanzoni.
 
Kwa hiyo a cold petrol engine is more fuel efficient than a warm engine? What is the optimum engine temperature for efficient fuel consumption, 0° C?

Kakojoe ulale!
we huwezi kunichallenge chochote kwenye magari. Hapa unaandika matakataka tu.

Unashinda unahamisha magoli.

Naona sasa hivi tumeanza kujadili fuel efficient at 0° C.

Kwa kukusaidia tu wewe mburula. Kinachofanya kuwa na fuel efficient nzuri ni joto la engine na siyo joto la mafuta. Hata ukiamua kuliimmerse tank lako kwenyw Ice as long as joto la la coolant limeshafika optimum temperature gari itatumia mafuta vizuri.

Kule nyuma kuna sehemu uliandika eti joto la engine lina uhisiano gani na tank la mafuta. Aiseee pale nikakuona mburula wa mwisho. Magari huyajui.

Kuna gari nyingi sana ambazo zina fuel return inayotoka kwenye engine kurudi kwenye tank. Kwa akili yako unadhani yale mafuta yatakuwa ya baridi?

Gari zote za kisasa ambazo ni returnless zina EVAP ambayo ni special kwa ajili ya kucontrol evaporation ya petrol kwenye tank.
 
Nilikuambia kazidishe halafu ukipata jibu ujiite poyoyo. Hakuna IST inatumia Dizeli. Maada ilikuwa Lita 45 ni approximate 45kg.

Kazidishe halafu ujiite Poyoyo.
 
Kumbe hata kiingereza hujui.
 
Uendesjaji wako ndio husave ama kula mafuta hasa matumizi sahihi ya RPM.. Hiyo ya kuweka full tank ni nzuri tu kwa kuwa hutaingia kituo cha mafuta mara kwa mara
 
Uendesjaji wako ndio husave ama kula mafuta hasa matumizi sahihi ya RPM.. Hiyo ya kuweka full tank ni nzuri tu kwa kuwa hutaingia kituo cha mafuta mara kwa mara
Faida za kuweka mafuta full tank ni nyingi kuliko hasara.

Kwa petrol.

1. Wanasema gari yako inaishi maisha marefu unapoweka full tank.

2. Full tank inasaidia cooling ya pump.

3. Full tank inafanya tank lako lisipate kutu sababu ya condensate za maji.

4. Mafuta yakiwa Mengi hizo condensate na uchafu mwingine hazitakuwa sucked na pump.

5. Na mwisho full tank inapunguza formation ya fumes za petrol above the tank.
 
[emoji817][emoji736][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Sasa mabishano hatutaki tena...

Tuhitimishe.
Suala la gari kutumia mafuta mengi kuliko umbali uliokadiriwa huchangiwa na
1..Uendeshaji wako
2..Uchakavu wa gari
3..Service duni hususani spark plugs, air filter na oil zisizo na ubora..
4..Aina ya barabara unayotumia, rough/foleni kali au namna gani

Acha ligi barabarani, acha gari lichanganye lenyewe..

Mwisho...weka mafuta full tank kwa maisha marefu ya pump yako na fuel injectors...mafuta ya kibaba yanafanya pump ivute uchafu unaolala chini kweny tank na kufanya injectors kuwa mbaya..
 
Hizo point zako 1-4 ndio nilizoziita "constant of proportionality" kwenye maelezo yangu. Huwezi kuzifanya zikawa "variables" wakati unataka kufanya ufafiti gari inakula mafuta zaidi ikiwa full tank au half tank. Kwa hiyo tuko palepale.
 
Dah...enzi zile za skonga...hii tulikuwa tunaita kuingia Chaka.....hoja ya Uzi ni nyingine na wewe unahitimisha kivingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Uendesjaji wako ndio husave ama kula mafuta hasa matumizi sahihi ya RPM.. Hiyo ya kuweka full tank ni nzuri tu kwa kuwa hutaingia kituo cha mafuta mara kwa mara
ni nzuri tu kwa kuwa hutaingia kituo cha mafuta mara kwa mara nimeipenda
 
Usisubiri kuisha, yatakuishia na huna kitu, we jaza full tank, yakipungua kiasi fulani unajazilizia.
hii mimi inanisaidia ata kwenye bajeti ukijaza full tank na ukaweka utaratibu wa ila mwisho wa wiki hizi emergency za katikati ya wiki unazikwepa sana ...

mkuun salaaam
 
We jamaa muongo kweli wewe duuh,uhalisia gari inapokuwa na full tank ulaji unakuwa mzuri unapata km za kutosha tofauti na mafuta ya kidebe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…