Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy

Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.

Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%

My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina

Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.

Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
 
Ukitaka kufanikiwa funga kabisa mdomo wala usimwambie mtu yeyote jambo lako.

Tena kama hawa wanaojiita WAZAZI kuna baadhi yao ni wabaya sana na wana sumu kali.

Au uwe unaongea nao kinyume nyume..... waambie mambo yako ni magumu sana, huna kazi, hujafanikiwa kila kitu kimevurugika........ HIZI NI MBINU ZA KIVITA

Wengine wachawi au wanatembea na mashetani ambayo yanaweza kukuvuruga mbaya sana.

Au kile KINYONGO na KIJICHO alichonacho dhidi yako kinaweza kukutia NUKSI KALI.
 
Kaka i can relate with you, back in the days ilinibidi masuala yangu na mipango nisiwaambie nyumbani kabisa… nikawa too vigilant.
In the end ilibidi nichunguze hiyo bad omen inatoka kwa nani, aisee niliekuja kumjua sikudhani

Since then nashare very little info.
 
Kwa mfano

My daddy is OK -financially
As well my siblings wapo vzr financially

Lakini analalamika kuhusu maisha kuwa ni magumu while she is getting everything on time.

Sasa Mimi sina kitu Ila nimefanya jambo la kumsaidia yeye Ila analeta chuki na kuonesha makasiriko .

Nilichomwambia nafanya not only to impress people but to play my party
 
Kwa mfano

My daddy is OK -financially
As well my siblings wapo vzr financially

Lakini analalamika kuhusu maisha kuwa ni magumu while she is getting everything on time.

Sasa Mimi sina kitu Ila nimefanya jambo la kumsaidia yeye Ila analeta chuki na kuonesha makasiriko .

Nilichomwambia nafanya not only to impress people but play my party
Jifunze and kuwa makini who you are sharing with, nikiwahi pitia kitu kama hiko. Turns out wabaya wako wanatoka kwenye familia , si ajabu hata ndugu wa damu.

Muombe mungu atakufungulia, lakin utashangaa ni wale watu unao waamini.

kuwa makin and dont share nao chochote anymore, stay vigilant
 
Ukitaka kufanikiwa funga kabisa mdomo wala usimwambie mtu yeyote jambo lako.

Tena kama hawa wanaojiita WAZAZI kuna baadhi yao ni wabaya sana na wana sumu kali.

Au uwe unaongea nao kinyume nyume..... waambie mambo yako ni magumu sana, huna kazi, hujafanikiwa kila kitu kimevurugika........ HIZI NI MBINU ZA KIVITA

Wengine wachawi au wanatembea na mashetani ambayo yanaweza kukuvuruga mbaya sana.

Au kile KINYONGO na KIJICHO alichonacho dhidi yako kinaweza kukutia NUKSI KALI.
Hii coment iwekewe LAMINATON kabisa! 🙌
 
Back
Top Bottom