Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Jifunze and kuwa makini who you are sharing with, nikiwahi pitia kitu kama hiko. Turns out wabaya wako wanatoka kwenye familia , si ajabu hata ndugu wa damu.

Muombe mungu atakufungulia, lakin utashangaa ni wale watu unao waamini.

kuwa makin and dont share nao chochote anymore, stay vigilant
That

Absolute I learn something
 
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy

Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.

Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%

My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina

Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.

Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Nikwambie jambo gumu leo, samahani lakini: Mamako mchawi...
 
Kuna kipindi nilikua naongea sana n mom kuhusu hussle zangu. Ila mostly alikua yuko negative mno kwenye issues ambazo ziko na risk au low chances ya kumake.

Nikagundua namuoenea tu kumshirikisha mipango with details. Saiv hua nampa details tu i.e nishahama huo mkoa, nilishaacha kule kazi nafanya kwingine, Nimemaliza mitihani kesho nakuja likizo

Saiv naona kila kitu kipo sawa, na mambo yanaenda.
 
Duuh - hapana Ila Mimi naamini Ana negative energy

Uchawi ni kitu ambacho huwa sikiamini kabisa Kama kipo

Mimi nimejifunza Sana kuhusu Nishati and universe

BICHWA KOMWE anajua zaidi kuhusu negative energy
Sawa kabisa ni lugha tu za kutambulisha mambo mengi, hasa wazungu wanapenda kuita negative energy, au positive energy na Mungu wanasema ni energy to pengi ne source of energy na hawapendi kumwona Mungu kama nafsi hai yenye utashi.

Usihofu kuhusu mama yako anaweza kuwa mchawi kwa tafsiri za kiafrika au ana negative energy kwa tafsiri za kizungu. Pia anaweza akawa anajitambua au hajitambui, haya mambo yapo sana, watu wengi kwenye familia zetu ni wachawi kwa kujua au kutojua.

Tumia positive energy kutoka kwa Yesu kuondoa hiyo negative energy kutoka kwa mama yako ila tegemea vita kali.
 
Duuh - hapana Ila Mimi naamini Ana negative energy

Uchawi ni kitu ambacho huwa sikiamini kabisa Kama kipo

Mimi nimejifunza Sana kuhusu Nishati and universe

BICHWA KOMWE anajua zaidi kuhusu negative energy
Huo ndiyo uchawi wenyewe. Kuwa na uwezo wa kutumia negative energy kuharibu afya na mafanikio ya mwingine ndo ulozi wenyewe.
 
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy

Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.

Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%

My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina

Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.

Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Sina uhakika kwa wengine, ila kuna faida kubwa sana kuoa Mke mwana maombi, unaweza kuwa upo misele yako mwenzio yupo magotini kuombea riziki na amani nyumbani

Familia isiyoomba ni rahisi sana kuingia katika mitazamo ya kishenzi shenzi na kuamini katika masuala ya kilozi
 
Back
Top Bottom