Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Sawa kabisa ni lugha tu za kutambulisha mambo mengi, hasa wazungu wanapenda kuita negative energy, au positive energy na Mungu wanasema ni energy to pengi ne source of energy na hawapendi kumwona Mungu kama nafsi hai yenye utashi.

Usihofu kuhusu mama yako anaweza kuwa mchawi kwa tafsiri za kiafrika au ana negative energy kwa tafsiri za kizungu. Pia anaweza akawa anajitambua au hajitambui, haya mambo yapo sana, watu wengi kwenye familia zetu ni wachawi kwa kujua au kutojua.

Tumia positive energy kutoka kwa Yesu kuondoa hiyo negative energy kutoka kwa mama yako ila tegemea vita kali.
Ategemee vita kali, yes sir ajue hatokuwa rahisi. Sababu na wao wata fight back
 
Yaani yeye kila siku analalamika she is hating people

Na mbaya zaidi yupo ccm that is hell

While my daddy is very humble generous and visionary
Huyo ni kama mama yangu ...Huwa nahisi labda anasumbuliwa Na laana kutoka kwenye kizazi chao...ni mtu anaeweza kuweka kinyongo Na chuki hata kwa mtu ambae hajamfanyia lolote baya
 
kuchukia watu iyo
Mfano MTU anachukia watu bila sababu

Mfano kwa maisha ya kitanzania

Una watoto wanne
Wote wapo well of (wanapesa)
Wanakujali

Mme wako ni watu wale wakimya hanywi pombe ,wala michipuko 24/7 yupo kazini na nyumbani
ni tabia tu mtu Anazaliwa nayo mfano mm naweza kukuona nikakuchukia tu yaan sikupendi na sitak unisemeshe ipo ivyo sio kwamba mchawi mm no ila nimezaliwa.ivyo

pili yeye sio Mungu apende watu wotee
 
Ukitaka kufanikiwa funga kabisa mdomo wala usimwambie mtu yeyote jambo lako.

Tena kama hawa wanaojiita WAZAZI kuna baadhi yao ni wabaya sana na wana sumu kali.

Au uwe unaongea nao kinyume nyume..... waambie mambo yako ni magumu sana, huna kazi, hujafanikiwa kila kitu kimevurugika........ HIZI NI MBINU ZA KIVITA

Wengine wachawi au wanatembea na mashetani ambayo yanaweza kukuvuruga mbaya sana.

Au kile KINYONGO na KIJICHO alichonacho dhidi yako kinaweza kukutia NUKSI KALI.
Una Akili sana kijana
 
Nikiwa na hela hunioni mtandaoni,nikifulia naanza kupost zile picha kipindi niko njema,mke wangu akiwa mja mzito nampiga picha na kuzipost mtoto akiwa na miaka kadhaa.nina michepuko kadhaa lengo ni kumzubaisha shetani na mama mkwe wake wasijue mke wangu ni yupi
 
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy

Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.

Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%

My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina

Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.

Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Kumbukumbu anazo mpiga picha
 
Back
Top Bottom