God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
- Thread starter
- #81
Kwanini wanakaa separate?
Mzee wangu hapendi kelele
So tuliona ili tusimuue mapema tumfanyie hivyo na yeye anasema tulifanya sahihi Sana .
Yule mama ni MTU wa fujo Sana anapenda vita na watu amefanya haya mambo almost 30 yrs
Mzee wangu kipindi Ana pesa nyingi hela zake alikuwa anatumia kumtoa police.
Kamfungilia duka kaua
Kampa gari ya biashara kaua
Kampa mtaji Mara kibao anaua
As well my mom alikuwa anaendekeza starehe
Pombe
Viwanja
Ila mzee wangu
Hatumii pombe
Sio MTU wa club
Mpole and quite
Starehe yake kubwa ni meditation na Yanga. SC .
Lakini kila Leo mom anamsumbua anamtakia maeneno mabaya n.k