Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ipo nguvu katika Usiri na ukimya wa mambo yako. Lakini Hawa waganga na ramli zao wanatuchonganisha na wazazi tu😂😂 ukweli ni kwamba wazazi wetu wa Miaka ile Kusimulia ndugu zake kuhusu mambo yetu sisi ni kawaida sana hapo ndo mambo yanapoharibikia kwa hao wanaowasimulia, lakini kusema wazazi hapana.😥😥
 
Mkiambiwa mama zenyu ni wachawi mnafura vichwa! Ati ooh, mama ni mama... nani kama mama.....

Ona sasa mnavyonyukwa makombora ya kienyeji!

Cc: Extrovert
Nakwambia mmoja kaambiwa hivyo badala afuatilie mwenyewe, eti anampigia mama yake na dada zake, eti huyu mwanamke ananichonganisha na familia 😀 ukimuona yupo kama nyumbu wa Serengeti kabisa.
 
Ipo nguvu katika Usiri na ukimya wa mambo yako. Lakini Hawa waganga na ramli zao wanatuchonganisha na wazazi tu😂😂 ukweli ni kwamba wazazi wetu wa Miaka ile Kusimulia ndugu zake kuhusu mambo yetu sisi ni kawaida sana hapo ndo mambo yanapoharibikia kwa hao wanaowasimulia, lakini kusema wazazi hapana.😥😥
Uko sahihi....mama akubebe 9month,hatari zote za mimba mpaka labour,(imagine chumba kunaitwa labour!ni kazi kwelikweli)halafu asitake ufanikiwe kweli?
 
Back
Top Bottom