Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Hawa ndio wakuwazingatia tena kama mzazi alifariki akiwa yeye ndo UPM wa ukoo.😂 Halafu mkaja nyie mkakata mirija fukuto lipoHawa ni ndugu zetu ila ishi nao kwa wasiwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio wakuwazingatia tena kama mzazi alifariki akiwa yeye ndo UPM wa ukoo.😂 Halafu mkaja nyie mkakata mirija fukuto lipoHawa ni ndugu zetu ila ishi nao kwa wasiwasi
Pole sana, tupo wote tunawaombea tu huko walikoWangu nishazika toka 2002
Allah amrehemu mama angu
Elewa tu hivyo Mkuu. Kikubwa usitoe Siri za maisha yako. Acha watu waone matokeo. Usimwamini yeyote. Hata wewe mwenyewe usijiamini!Nini maana yake mkuu? naomba unifafanulie kwa mapana, huenda ukanifungua mambo kadhaa. 🙏🏿
Mkuu Mwenyewe usipojiamini si ndo mwanzo wa kuanza kuamini wengine ?Elewa tu hivyo Mkuu. Kikubwa usitoe Siri za maisha yako. Acha watu waone matokeo. Usimwamini yeyote. Hata wewe mwenyewe usijiamini!
Watu wanalosa maarifa sahihi na juhudi katika mambo yao alafu akifeli wanasingizia mama zao kwamba wana negative energy.Huwa nikiamua kusema ,nasema popote pale na jambo langu nalifanikisha vizuri tu ,labda niamue kulikatisha mwenyewe tu.
Mheshimiwa wa nn mkuu mbona unanipakazia?wewe
baba yako si mheshimiwa yuleee kwahiyo ni mchawo ety
MKuu hakuna mantiki ya kuanza kuchunguza mapungufu ya wazazi,kuna faida gani juu ya hilo ?Uchungu mkubwa, tunapokuwa wadogo huwa hatuoni mapungufu ya wazazi wetu. Tunakuja kugundua madhaifu yao hasa kwa waliyofanya kwa wengine tunapopata akili. Kwa akili za utoto tuliona wazazi wetu ni wakamilifu kwa 100%.
Hatuwezi kuwakataa au kuwakana kwa kuwa tayari ni wazazi waliotuleta Duniani. Na kupitia udhaifu/ mabaya yao kwa wengine ndio wameweza kutulea mpaka tulipopata akili ya kuona mapungufu yao. 😭😭😭😭😭
Kabisa mkuu,watu wanatafuta sehemu ya kuangushia lawama.Wengine hata huyo wa kumshirikisha tu hatuna, tunafeli kwa makosa yetu wenyewe.
twajibiiiiiMheshimiwa wa nn mkuu mbona unanipakazia?
Kabisa mkuu , huu ni ujinga tu ,ila kwa jinsi miaka inavyokwenda watu wanazidi kujitambua.Watu wanalosa maarifa sahihi na juhudi katika mambo yao alafu akifeli wanasingizia mama zao kwamba wana negative energy.
Hizi mambo ni kutafuta mtu wa kumlaumu tu,jambo la msingi ni juhudi sahihi pamoja na maarifa sahihi yanayoweza kukufikisha kule utakako.
Habari za mama ni uongo ambao hauna maana yoyote ile.
Mkuu hizo ni dhana tu ambazo hazina uhalisia wowote ni kama baadhi y imani za kidini tunazomezeshwa.Ipo nguvu katika Usiri na ukimya wa mambo yako. Lakini Hawa waganga na ramli zao wanatuchonganisha na wazazi tu😂😂 ukweli ni kwamba wazazi wetu wa Miaka ile Kusimulia ndugu zake kuhusu mambo yetu sisi ni kawaida sana hapo ndo mambo yanapoharibikia kwa hao wanaowasimulia, lakini kusema wazazi hapana.😥😥
Mmh naona kama ndio watu wanazidi kutojitambua hivi mkuu.Kabisa mkuu , huu ni ujinga tu ,ila kwa jinsi miaka inavyokwenda watu wanazidi kujitambua.
😄😄😄 sawa mkuuMmh naona kama ndio watu wanazidi kutojitambua hivi mkuu.
Maana sasa hivi kuna hizi taarifa za mambo ya spiritual sijui natural power sijui yaani ndio haya yanakuja na tunayaona hapa jf.
Lakini yooote hayo mkuu ni kwa sababu ya pesa,watu wanadhani pesa ni rahisi rahisi tu kupatikana.
Wanawekeza kichwa kichwa alafu wakishakula za uso wanatafuta wa kumtupia lawama.
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy
Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.
Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%
My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina
Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.
Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Mjinga mwingine huyu hapaIla watoto wengine bure kabisa!we una uhakika huyo ni baba yako?use your brain....mama akisema jambo muelewe mpaka mpigwe makonzi ndio muelewe?