Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

My father ni mzungu very quite

Na muda mwingi ameutumia kufanya Kazi mikoani .

Ila kiasili mzee wangu huwa haongei anakaaga kimya muda wote
Wengine tunasemwa sana hatuweki mipango hadharani, but we make things happen.

Nakula sana lawama, ila mie na serikali yangu kichwani bado naviamini katika kufanya maamuzi sahihi.
 
Wachwi kila kona, mm mwemyew mzee wangu nikimwambiaga jambo linapinda kwelikweli. Nimegoma siku hiz simshirikishi kabisa yan
Binafsi nisipowashirikisha jambo wazazi wangu aisee hilo jambo naweza nikalifanya naa nikapata hasara kubwa..ila nikiwashirikisha hata kama lilikuwa gumu kiasi ganu lazima nitoboe.
 
Sina uhakika kwa wengine, ila kuna faida kubwa sana kuoa Mke mwana maombi, unaweza kuwa upo misele yako mwenzio yupo magotini kuombea riziki na amani nyumbani

Familia isiyoomba ni rahisi sana kuingia katika mitazamo ya kishenzi shenzi na kuamini katika masuala ya kilozi
Kuna maza mmoja ni mama maombi hodari anafunga siku 3 mfululizo bila kula, kila mwezi ye ni mfungo ila ana tabia zote km za mama yake mtoa mada mlalamishi balaa manung'uniko na lawama ni yeye daily na ana bonge la zongo ukisema jambo lako tu akalijua lazima likwame,

Wanae hawajapata maisha ya kueleweka akianza kulaumu huyo Mungu jinsi anavyofunga lakini hapati kitu mungu gani wewe😅😅😅 wivu sasa kwa watoto wa wenzie, ndo maana hakanenepi we mtu mzima ana kg 43
 
Dahh! 😂... Eti 43 kgs

Ila wanaojifanyaga wana dini mostly huwaga ni wanafiki tu!
 
kwahy umeamua kumdhalirisha mama yako?
Anaifundisha jamii ili Watu walitambue .

Mtu akishaletwa duniani ni mali ya Mungu na anaweza kuvamiwa na maadui wa kimwili na pia kiroho.
Wazazi wana Muda Maalumu. Ndio maana kuna umri ukifika watoto hawawezi kuingia kwenye chumba cha wazazi na kulala nao au kuoga pamoja na wazazi . Muda wa matukio fulani huondoka japo wazazi wao wanaona kuwa watoto bado ni watoto hawakui mbele ya wazazi lakini kiuhalisia sio na hawapo tena kwenye milki yao kimwili na kiroho.

Bila mafundisho ya kiroho na kimila binadamu akishazaliwa anakua kwenye mapambano bila kuangalia nani aliyeko mbele yake.
Kuna baadhi ya Watoto wanaua wazazi na baadhi ya wazazi wanatupa na kulaani watoto wao , hasa akina mama . Wakiona maslahi na matarajio yao hayajatimia mara nyingi akina mama wanaweka kinyongo na hata laana kwa watoto wao wa kuzaa.
 
Kuna maza mmoja ni mama maombi hodari anafunga siku 3 mfululizo bila kula, kila mwezi ye ni mfungo ila ana tabia zote km za mama yake mtoa mada mlalamishi balaa manung'uniko na lawama ni yeye daily na ana bonge la zongo ukisema jambo lako tu akalijua lazima likwame,

Wanae hawajapata maisha ya kueleweka akianza kulaumu huyo Mungu jinsi anavyofunga lakini hapati kitu mungu gani wewe😅😅😅 wivu sasa kwa watoto wa wenzie, ndo maana hakanenepi we mtu mzima ana kg 43
Huyo sasa imani yake haba maana Mungu anapaswa kushukuriwa na wakati wake ndio sahihi

Ukishanung'unika basi huamini katika uweza wake
 
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy

Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.

Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%

My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina

Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.

Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Wewe mkeo anatoka familia ya aina gani ??
 
Back
Top Bottom