Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Uchungu mkubwa, tunapokuwa wadogo huwa hatuoni mapungufu ya wazazi wetu. Tunakuja kugundua madhaifu yao hasa kwa waliyofanya kwa wengine tunapopata akili. Kwa akili za utoto tuliona wazazi wetu ni wakamilifu kwa 100%.

Hatuwezi kuwakataa au kuwakana kwa kuwa tayari ni wazazi waliotuleta Duniani. Na kupitia udhaifu/ mabaya yao kwa wengine ndio wameweza kutulea mpaka tulipopata akili ya kuona mapungufu yao. 😭😭😭😭😭
When nilipogundua haya, it was hard pill to swallow. Nilikuwa siamini, but then nilikaza moyo nikakubaliana.
Huwa inauma sana haswa pale wewe ndie uleikuwa ukiwaamini
 
Kuamini unafanikiwa/kufeli sababu umemwambia mtu jambo fulani nayo ni ujinga mwingine. Mambo yako yataenda/kukwama tokana na juhudi zako. Mtu baki hana uwezo wa kukwamisha mambo yako kwa bad energy sijui uchawi na nadharia zingine za kufikirika labda aingilie mipango yako physically au akakuchongee huko mambo yakwame.
 
Sina uhakika kwa wengine, ila kuna faida kubwa sana kuoa Mke mwana maombi, unaweza kuwa upo misele yako mwenzio yupo magotini kuombea riziki na amani nyumbani

Familia isiyoomba ni rahisi sana kuingia katika mitazamo ya kishenzi shenzi na kuamini katika masuala ya kilozi
Chukua soda...nalipa mimi, ila mwakani
 
Sina uhakika kwa wengine, ila kuna faida kubwa sana kuoa Mke mwana maombi, unaweza kuwa upo misele yako mwenzio yupo magotini kuombea riziki na amani nyumbani

Familia isiyoomba ni rahisi sana kuingia katika mitazamo ya kishenzi shenzi na kuamini katika masuala ya kilozi
Yaani nimekupenda bure, kuna wanaume wengine mke muombaji yeye kazi yake kupeleka maneno Kwa mama yake na dada zake huyu mwanamke muda wowote nikuomba hata sioni Cha maana, ukiona hivyo huyo alishatekwa kama nyumbu wa Serengeti.
 
Back
Top Bottom