God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Kaka i can relate with you, back in the days ilinibidi masuala yangu na mipango nisiwaambie nyumbani kabisa… nikawa too vigilant.Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy
Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.
Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%
My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina
Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.
Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Mama mbaya huyo. Kaa nae mbali sana.Yaani yeye kila siku analalamika she is hating people
Na mbaya zaidi yupo ccm that is too worst .
While my daddy is very humble generosity and visionary
Sema naumia Sana when I see her she is. Living mediocre lifeMama mbaya huyo. Kaa nae mbali sana.
Mama mbaya huyo. Kaa nae mbali sana.
Wapo wengi sana. Zunguka uyaone.hakuna mama mbaya kamwe
Baba yako alifanikiwa vipi wakati Mama yako ndio mke wake??
Jifunze and kuwa makini who you are sharing with, nikiwahi pitia kitu kama hiko. Turns out wabaya wako wanatoka kwenye familia , si ajabu hata ndugu wa damu.Kwa mfano
My daddy is OK -financially
As well my siblings wapo vzr financially
Lakini analalamika kuhusu maisha kuwa ni magumu while she is getting everything on time.
Sasa Mimi sina kitu Ila nimefanya jambo la kumsaidia yeye Ila analeta chuki na kuonesha makasiriko .
Nilichomwambia nafanya not only to impress people but play my party
Hii coment iwekewe LAMINATON kabisa! 🙌Ukitaka kufanikiwa funga kabisa mdomo wala usimwambie mtu yeyote jambo lako.
Tena kama hawa wanaojiita WAZAZI kuna baadhi yao ni wabaya sana na wana sumu kali.
Au uwe unaongea nao kinyume nyume..... waambie mambo yako ni magumu sana, huna kazi, hujafanikiwa kila kitu kimevurugika........ HIZI NI MBINU ZA KIVITA
Wengine wachawi au wanatembea na mashetani ambayo yanaweza kukuvuruga mbaya sana.
Au kile KINYONGO na KIJICHO alichonacho dhidi yako kinaweza kukutia NUKSI KALI.