Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam,

Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba katika maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako.

Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo:

1. Mdekeze kadri uwezavyo coz huenjoy sana kudekezwa na mtu ampendae

2. Akikosea usimfokee, muelekeze kistaarab hatorudia kosa hilo

3. Ukimkosea muombe samahani hata kwa kuigiza, atafurahi sana.

4. Akikujibu vibaya usimchukulie serious coz hua hawamaanishi zaid ya kujihami

Kwa leo inatosha, tukutane wakati mwingine.
 
Screenshot_20240904-194708.jpg
 
Back
Top Bottom