Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Salaam,

Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba ktk maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako.

Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo:

1.mdekeze kadri uwezavyo coz huenjoy sana kudekezwa na mtu ampendae

2. Akikosea usimfokee, muelekeze kistaarab hatorudia kosa hilo

3. Ukimkosea muombe samahan hata kwa kuigiza, atafurah sana.

4. Akikujibu vibaya usimchukulie serious coz hua hawamaanish zaid ya kujihami

Kwa leo inatosha, tukutane wakati mwingine.
Sio kizazi hiki cha nyoka
 
Kwa niaba ya wanawake nasemaaa hizi ni uongoooooo
 
Unaingizwa kwenye kumi na nane .. shtuka ..

Kwenye game kuna anaelose kuna anaewin .

Wengine Tulipewa mpaka mishahara tuipangie matumizi ..
Una uchovu unaulizwa au ni hela huna , Ikijibu yes unachapwa na turaki tuwiri, .

Hapo uko na bebe wako mwingine .. unaulizwa huwa anakupa Nini mie nikupe more than .. unajichanganywa unaingia kuminatisani ... Paap huna option Zaidi ya yeye .. nyokolaaaa

Unaanza kuona makucha ...

Ngastuka a machali kundesaaaa

Kaa kijana jombiiii...

Kuwa makini na wanawake wameangusha himaya pamoja na wafalme
 
Back
Top Bottom