Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

Hakuna hela ya ajabu wanaomba,Me mwanamke akiomba hela ya kununulia kiwanja au gari hapo ndo namkataa
uzuri ni kwamba bei za viwanja hazifanani kwa nchi nzima.
So, hizo unazompa kwa kuziona ni hela ndogo ndogo, hizo hizo ndo mwishowe ananunua kiwanja.

Akipiga mzinga wa 10k, 15k, 20k, 30k, 80k, sometimes 100k plus, after some few months yupo na pesa ya kununua kiwanja.. Au hautaki?

So, ukimpa pesa, mpe tu pesa, usimpangie matumizi.. ukiweza kutoa 100k wewe mpe, ukiweza 1M toa, ukiweza 3M. toa. Hata ukiweza USD 30K wewe mpe tu. Jikune mkono unapofika.
 
Back
Top Bottom