Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

Wanawake wote wanajiuza. Wametofautiana mbinu tu.
1. INDEPENDENT ONES.
wapo wanawake wengine ni independent na hawachukulii mahusiano ya kimapenzi kama ajira.
Wakikupenda, wanachohitaji ni presence yako.

2. SUPPORTIVE ONES.
Wapo wanawake ambao wao ndo wanaowapiga 'tafu' wanaume kiuchumi.
Wakikupenda, wanahitaji presence yako na uwe na akili yenye maono.

3. 👅 (HAWA SIWAPI KIWAKILISHI)
Type hii ya wanawake, hawa ndo Ndugu Natafuta Ajira unaweza ukasema "wanauza" coz hawa kwa maneno wanajidai wanajiweza kwa kipato, ila ajabu dakika mbili mbele utaona anasema hawezi kutoka na mwanaume asiyetoa pesa .
Wenyewe husema 'sitaki asiyejua kuhudumia'

Hii ndo type ambayo 'mahusiano' kwao ni kama ajira.
Ndiyo wale unaowaita wa 'selective equality'

Mara nyingi mtizamo wa jamii umewaathiri, fikra zao wao relationship ni kama job opportunity.
It's like wanauza sex for money.

4. HAWA PIA SIWAPI KIWAKILISHI CHAO.
Hii type, huwa hawana viable source of income. Hawa mara nyingi wanachoangalia ni mwanaume aoneshe mahaba na awalipie bills.

Hawa nao kuna types mbili [2] zao:-
wapo ambao ni 'real' , na wapo 'fake'.
->Fake ones - wapo nawe coz unacover bills zao, hakuna mahaba. (hawa ndiyo typical wauzaji, penzi ajira)
->Real Ones - wapo nawe sabb ya mahaba na bills pia.

Kila kundi hapa kuanzia 1, 2, 3 na 4, lina faida na hasara zake. Acha niishie hapa.

NB: Opinions zangu tu, msitilie maanani, sina hoja nipuuzwe 😎.

Haya mengine ni makelele ya mitaa na mitandaoni tu, ila mwanamke akikupenda ile ile, mbona hela zake utazikula sana tu yaani, yaani sana tu yaani.
 
Mmoja kaniambia nmdhamini kwenye duka la vifaa vya ujenzi kwa rafiki angu atalipia rakni mpaka nliona aibu deni limechukua mda mrefu mwenye duka tunashibana sana nmeenda mwenyewe kuilipia hiyo mifuko mitano ya simenti na hapo nilipiga mara moja
 
Kimbia mkuu atakufirisi huyo
 
Wanawake wote siku hizi ni Malaya. Wote wamekaa kimkakati haijalishi ni mke wa mtu au lah, ukimsukia mkakati unamla.
 
1. INDEPENDENT ONES.
wapo wanawake wengine ni independent na hawachukulii mahusiano ya kimapenzi kama ajira.
Wakikupenda, wanachohitaji ni presence yako.

2. SUPPORTIVE ONES.
Wapo wanawake ambao wao ndo wanaowapiga 'tafu' wanaume kiuchumi.
Wakikupenda, wanahitaji presence yako na uwe na akili yenye maono.

3. 👅 (HAWA SIWAPI KIWAKILISHI)
Type hii ya wanawake, hawa ndo Ndugu Natafuta Ajira unaweza ukasema "wanauza" coz hawa kwa maneno wanajidai wanajiweza kwa kipato, ila ajabu dakika mbili mbele utaona anasema hawezi kutoka na mwanaume asiyetoa pesa .
Wenyewe husema 'sitaki asiyejua kuhudumia'

Hii ndo type ambayo 'mahusiano' kwao ni kama ajira.
Ndiyo wale unaowaita wa 'selective equality'

Mara nyingi mtizamo wa jamii umewaathiri, fikra zao wao relationship ni kama job opportunity.
It's like wanauza sex for money.

4. HAWA PIA SIWAPI KIWAKILISHI CHAO.
Hii type, huwa hawana viable source of income. Hawa mara nyingi wanachoangalia ni mwanaume aoneshe mahaba na awalipie bills.

Hawa nao kuna types mbili [2] zao:-
wapo ambao ni 'real' , na wapo 'fake'.
->Fake ones - wapo nawe coz unacover bills zao, hakuna mahaba. (hawa ndiyo typical wauzaji, penzi ajira)
->Real Ones - wapo nawe sabb ya mahaba na bills pia.

Kila kundi hapa kuanzia 1, 2, 3 na 4, lina faida na hasara zake. Acha niishie hapa.

NB: Opinions zangu tu, msitilie maanani, sina hoja nipuuzwe 😎.

Haya mengine ni makelele ya mitaa na mitandaoni tu, ila mwanamke akikupenda ile ile, mbona hela zake utazikula sana tu yaani, yaani sana tu yaani.
Hypergamy ni nature ya mwanamke. Bila kujali anajimudu kiuchumi au lah, kiasili mwanamke ana-prefer mwanaume wa daraja la juu zaidi yake sana sana kwenye vipengere vya uchumi na status. Kwahiyo hata kama hela yake utaiona huwa ni chenchi ndogo tu kutoka hela unayompa wewe. Katika mahusiano ni ngumu sana ile exchange ya provision for sex kukosekana
 
Back
Top Bottom