Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

baadhi ya wanaume pia wanaomba
ukiona mtu anaomba jua ana shida
Saa ingine mwanaume unakua na hamu ya kumpa hela mdada ambae mko kwenye talking stage, ila ukitumia akili kuwaza anavyoku treat unamnyima hela, huku moyo unasikitika unatamani umpe iyo hela, ila unajikaza tu usimpe, mdada anawaza hupendi kuombwa hela, au umemnyima makusudi kumbe sivyo..mfano

1) For months, conversation weight unaibeba wewe mwanaume kwa asilimia kubwa (98%) usipomtafuta there is a chance hakutafuti

2) Mtu hata kukuita mahali mpige story, mcheke, mjenge bond, hawazi hilo, ajue who are your relatives, friends, family background, who are you as a person, mitazamo yako etc..hawazi hilo

3) Sijaongelea swala la papuchi.. unajiuliza huyu mtu uhitaji wake wa kimwili (nyege) anazipeleka wapi akizipata..mbona shida hii siambiwi..😁ila kiukweli kabisa hili si muhimu sana kwenye talking stage coz hujamuoa na uzinzi ni dhambi

Kwa hizo point hapo juu dada zangu ukimuomba mwanaume hela halafu akakunyima, utasema huyo mwanaume ni mbahili/ mchoyo.. Seran binti kiziwi masai dada Atoto leo dada Shadeeya
Lamomy
 
Kama mna mutual feeling mnatafutana vizuri tu

Wanaume wa sikuhizi breakpoint ya kwanza lodge! Ukimtafuta anahisi unataka kutoa mbwa tu!

Wanawake tulio wengi wala hatunaga hayo mawazo mara chache sana hutujia na maybe ukute mtu yuko idled au aamshe hisia zake mwenyewe! Ila kwa kawaida huo upande sio issue sana kwetu!
Kwa hizo point hapo juu dada zangu ukimuomba mwanaume hela halafu akakunyima, utasema huyo mwanaume ni mbahili/ mchoyo..
kuna ******* ni wachoyo hata umfanye nini!
 
Mdogogo wangu si NIKAKUTANA na kadada kaliwa na kaduka flani kakuibia ibia basi nikakatokea kakachomoa BAADA ya siku mbili kakaniibukia nikakaambia si ulikataa kakasema hapana nilikuwa nakufikiria kukauliza umekubali hakajibu chochote .

Kesho yake kalaanza kupiga mizinga ya mara 50k mara 30k mara 100k ebo nilisema nimekutana na jini au MTU,

Hyo 50k ulishindwa kumwambia aifate?
 
Hyo 50k ulishindwa kumwambia aifate?
Moja hivi nilimwanbia aifate akauliza wapi nilivyosema kanyegero lodge aliwaka balaa. Hapo ukawa mwisho shangaa Kila akipata shida ananijazia storage ya sms ila hataki toa, Sasa na Mimi nilianza mwomba PESA itakuwaje
 
Saa ingine mwanaume unakua na hamu ya kumpa hela mdada ambae mko kwenye talking stage, ila ukitumia akili kuwaza anavyoku treat unamnyima hela, huku moyo unasikitika unatamani umpe iyo hela, ila unajikaza tu usimpe, mdada anawaza hupendi kuombwa hela, au umemnyima makusudi kumbe sivyo..mfano
Hupendi nn kuombwa Hela we toa. Pia hapa kasikilize Ngoma ya ngwaire inaitwa we mpe hela kama sijakosea Ina majibu yako
1) For months, conversation weight unaibeba wewe mwanaume kwa asilimia kubwa (98%) usipomtafuta there is a chance hakutafuti
Mapenzi ni Sanaa itengeneze uone kama hutatafutwa
2) Mtu hata kukuita mahali mpige story, mcheke, mjenge bond, hawazi hilo, ajue who are your relatives, friends, family background, who are you as a person, mitazamo yako etc..hawazi hilo
Unataka kuitwa!? Hayo maelezo ni ya stage ya uchumba huko.
Na pia mwanaume unatakiwa ujiachie haswaa kwa mwanamke ili asikumbue
3) Sijaongelea swala la papuchi.. unajiuliza huyu mtu uhitaji wake wa kimwili (nyege) anazipeleka wapi akizipata..mbona shida hii siambiwi..😁ila kiukweli kabisa hili si muhimu sana kwenye talking stage coz hujamuoa na uzinzi ni dhambi
Bwanaee siku hizi vijana wote wa kike na kiume wengi matapeli wa mapenzi. Na nyege zinataka matunzo na huduma.... Atanyegeka vipi na wewe vi Hela vyako vina macho
Kwa hizo point hapo juu dada zangu ukimuomba mwanaume hela halafu akakunyima, utasema huyo mwanaume ni mbahili/ mchoyo.. Seran binti kiziwi masai dada Atoto leo dada Shadeeya
Lamomy
Mi ukininyima Hela na mkataba kwisha... Hata hivyo usichanani huko nilikuwa si date na mbahili kabisa na nina aleji nao wanaume dizaini hiyo.
 
Kama mna mutual feeling mnatafutana vizuri tu

Wanaume wa sikuhizi breakpoint ya kwanza lodge! Ukimtafuta anahisi unataka kutoa mbwa tu!

Wanawake tulio wengi wala hatunaga hayo mawazo mara chache sana hutujia na maybe ukute mtu yuko idled au aamshe hisia zake mwenyewe! Ila kwa kawaida huo upande sio issue sana kwetu!

kuna ******* ni wachoyo hata umfanye nini!
Ukisema huyu mdada hanitaki, uache kumtafuta kabisa kila mtu aendelee na maisha yake, zikipita wiki 2 huyoo kakucheki, na kwa vile bado unampenda na hamjagombana unamrudia kama mbwa anavyomrudia chatu huku ukijipa moyo kuwa may be kabadilika

Ndo inafika stage akikuomba hela unaona huu uhusiano ni gross loss/liability unaitolea nje request yake Seran
 
Hupendi nn kuombwa Hela we toa. Pia hapa kasikilize Ngoma ya ngwaire inaitwa we mpe hela kama sijakosea Ina majibu yako

Mapenzi ni Sanaa itengeneze uone kama hutatafutwa

Unataka kuitwa!? Hayo maelezo ni ya stage ya uchumba huko.
Na pia mwanaume unatakiwa ujiachie haswaa kwa mwanamke ili asikumbue

Bwanaee siku hizi vijana wote wa kike na kiume wengi matapeli wa mapenzi. Na nyege zinataka matunzo na huduma.... Atanyegeka vipi na wewe vi Hela vyako vina macho

Mi ukininyima Hela na mkataba kwisha... Hata hivyo usichanani huko nilikuwa si date na mbahili kabisa na nina aleji nao wanaume dizaini hiyo.
Kuwekeza sana kwenye uhusiano ambao ulie nae hagusi chochote, inachosha leo dada
 
Saa ingine mwanaume unakua na hamu ya kumpa hela mdada ambae mko kwenye talking stage, ila ukitumia akili kuwaza anavyoku treat unamnyima hela, huku moyo unasikitika unatamani umpe iyo hela, ila unajikaza tu usimpe, mdada anawaza hupendi kuombwa hela, au umemnyima makusudi kumbe sivyo..mfano

1) For months, conversation weight unaibeba wewe mwanaume kwa asilimia kubwa (98%) usipomtafuta there is a chance hakutafuti

2) Mtu hata kukuita mahali mpige story, mcheke, mjenge bond, hawazi hilo, ajue who are your relatives, friends, family background, who are you as a person, mitazamo yako etc..hawazi hilo

3) Sijaongelea swala la papuchi.. unajiuliza huyu mtu uhitaji wake wa kimwili (nyege) anazipeleka wapi akizipata..mbona shida hii siambiwi..😁ila kiukweli kabisa hili si muhimu sana kwenye talking stage coz hujamuoa na uzinzi ni dhambi

Kwa hizo point hapo juu dada zangu ukimuomba mwanaume hela halafu akakunyima, utasema huyo mwanaume ni mbahili/ mchoyo.. Seran binti kiziwi masai dada Atoto leo dada Shadeeya
Lamomy
inatakiwa uanze lini kuomba ela ili usionekane jau🤣🤣🤣
 
Kiasili hamna mwanaume rijali na responsible, asietaka kumpa hela mwanamke anaempenda

Tatizo dunia ya sasa wanawake wengi wameipa hela kipaumbele kiasi cha kutisha hadi wanaume tunaogopa, mambo ya kumuomba mwanaume wako hela yanakuja naturally yenyewe, tatizo mnaingia kwenye uhusiano na mindset ya ku-focus kwenye hela tu, hadi mnashindwa ku-notice na vitu vingine masai dada
 
ni kusubiri tu automatic hamna namna
wewe hapo binafsi unapenda kuombwa au kutoa tu automatic
 
Ukisema huyu mdada hanitaki, uache kumtafuta kabisa kila mtu aendelee na maisha yake, zikipita wiki 2 huyoo kakucheki, na kwa vile bado unampenda na hamjagombana unamrudia kama mbwa anavyomrudia chatu huku ukijipa moyo kuwa may be kabadilika

Ndo inafika stage akikuomba hela unaona huu uhusiano ni gross loss/liability unaitolea nje request yake Seran
Tafuta mtu atakaye kufaa kwa yote!
 
ni kusubiri tu automatic hamna namna
wewe hapo binafsi unapenda kuombwa au kutoa tu automatic
Kuombwa inategemea na mtu anaeomba, pisi hauelewi we ni nani katika maisha yake, lakini shida zake za kipesa anataka umtatulie..hapo unakula tu buyu😁 au unamsaidia tu kama ambavyo ungeweza msaidia binadamu mwingine, ila kama mwanaume kichwani unajua tu hapa sina mtu, so huweki matarajio hapo masai dada
 
ha🤣
unamsaidia kama binadam wengine
 
Jinsi walivyo pendeza na kujikwatua utadhani hawana shida mguse sasa uone list ya bills atakazokupa utakimbia

NB, mke mmoja hatoshi
jifunze kuishi kwenye uhalisia wako... achia wenye visu vikali (pesa) wawagegede hizo girls. mwenzangu na mimi kama mtoa mada, shika jembe kalime au base kwenye level zako. dunia haipo fair. ni mtazamo tu
 
Back
Top Bottom