Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

Nimekuelewa sana!

Kwenye kununua kiwanja bado haijaniingia vizuri!
nilikuwa namjib mdau pale juu, alisema kitu kama "hawezi kumpa 'demu' pesa ya kiwanja ila anaweza kumpa pesa ndogo ndogo."

Hizo anazoita pesa ndogo hizo, kwa mwaka sometimes anawezajikuta jumla yake kampa 'demu' Tsh. 2M - 5M,
ila atadai hawezi kumpa 'demu' pesa mingi ya kununua kiwanja.

Nilichoreply kwake maana yake ni kwamba, anajidai kakwepa hilo, ila hicho anachoona kwake ni kidogo ajue pia kinaweza kununua kiwanja akiendelea kutoa after some months ahead.

Au bado wanangu mnadhani viwanja vyote TZ hii vinauzwa 'mabilioni' eeh?

Kuwa obsessed na Mikocheni, Ada Estate, O'bey, Msasani, Mbweni, Masaki, Sinza, Ununio, Bahari Beach, Mbezi Beach, Upanga, n.k. kusifanye tukahisi viwanja vyote TZ ni expensive sana hivyo.
 
nilikuwa namjib mdau pale juu, alisema kitu kama "hawezi kumpa 'demu' pesa ya kiwanja ila anaweza kumpa pesa ndogo ndogo."

Hizo anazoita pesa ndogo hizo, kwa mwaka sometimes anaweezajikuta jumla yake kampa 'demu' 2M - 5M,
ila atadai hawezi kumpa 'demu' pesa mingi ya kununua kiwanja.

Nilichoreply kwake maana yake ni kwamba, anajidai kakwepa hilo, ila hicho anachoona kwake ni kidogo ajue pia kinaweza kununua kiwanja akiendelea kutoa after some months ahead.

Au bado wanangu mnadhani viwanja vyote TZ hii vinauzwa 'mabilioni' eeh?
Mimi nimekuelewa vizuri, lakini hizo pesa ndogo ndogo ndio zingetunzwa kufikia 2m-5m?
 
Mimi nimekuelewa vizuri, lakini hizo pesa ndogo ndogo ndio zingetunzwa kufikia 2m-5m?
kuna watu waki-lock target kwenye malengo fulani, they stick to it.

Some women ni special. Je, hata chuo hukuwahi kuona hizo?

mai furendiiii, Acha nipige kimya nisitoe codes zaidi 🤭🤫

Afu 2-3M sio pesa kubwa kihivyo
 
Duhh sawa, ila sio kutumiwa ef 10 nikaiweke mpk nifikie ela ya kiwanja!
inadepend na hiyo 10k yako inakuja kwa frequency gani? , kwa channel ya multiple ya ngapi ngapi?
na mindset yako.

elfu 10 kwa wiki ni sh ngapi?

kwa mwezi?
after a couple of few months?

mtu anao bebezi wawili watatu. Na tena masela tunavyojituma hivyo kwa bebezi ambao ni visu vikali.

😀 mbona unapenda niendelee kufungua codes, wakati nimesema na-mute
 
Jinsi walivyo pendeza na kujikwatua utadhani hawana shida mguse sasa uone list ya bills atakazokupa utakimbia

NB, mke mmoja hatoshi
Wewe kama ni mpenzi wa wanawake kwamba mzuri hakupiti mpaka umlambe kuombwa pesa na kutoa huwezi kukwepa.
Mimi hii ndio ilikuwa silaha yangu,ni mpole sana,mtaratibu sana na pesa natoa,basi nimewala sana.Ila nilikuwa natumia kinga.Huko maofisini kwenye ofisi za serikali nilikokuwa naenda kikazi ama nimewalba haswaaaaaa.Na sio hivyo gemu naijua mno,kila staili na nasugua haswaaa.Wapo mpaka leo huwa wananipigia huku wanacheka.Mmoja alikuja kikazi wiki iliyopita akaniambia mzee hivi gemu unapiga kama zamani nikamwabia sijui ila tufanye wewe ndio utasema.Basi kwenye mida ya saa 9 siku moja akaniita hotelini kwake,tukaagiza wine,tukanywa then tukaingia room,weeeee nilimnyandua hana hamu.Vilio kila aina.
 
inadepend na hiyo 10k yako inakuja kwa frequency gani? , kwa channel ya multiple ya ngapi ngapi?
na mindset yako.

elfu 10 kwa wiki ni sh ngapi?

kwa mwezi?
after a couple of few months?
Sio rahisi kama unavyofikria, mtu anaetegemea kupewa elfu 10 hana maisha mengine bado hajatamani kula sijui kusuka chuka etc..
mtu anao bebezi wawili watatu. Na tena masela tunavyojituma hivyo kwa bebezi ambao ni visu vikali.
Hakuna kitu kama hicho unafikiri, wanaume wote wanatoaga tu pesa hovyo eeh? Kila siku unapewa ela kivipi yani? Hizo assumption tu
😀 mbona unapenda niendelee kufungua codes, wakati nimesema na-mute
Sa unamuogopa nani? Unajulikana kwani?
And btw! Mwanamke mwenye akili ya kuwekeza pesa namna unayoiwaza hapa hana hiyo mindset unayosema hapa! Unaongelea wanawake wa aina ya tifauti kabisa hapo..
 
Sio rahisi kama unavyofikria, mtu anaetegemea kupewa elfu 10 hana maisha mengine bado hajatamani kula sijui kusuka chuka etc..

Hakuna kitu kama hicho unafikiri, wanaume wote wanatoaga tu pesa hovyo eeh? Kila siku unapewa ela kivipi yani? Hizo assumption tu

Sa unamuogopa nani? Unajulikana kwani?
And btw! Mwanamke mwenye akili ya kuwekeza pesa namna unayoiwaza hapa hana hiyo mindset unayosema hapa! Unaongelea wanawake wa aina ya tifauti kabisa hapo..
Okay, umehitimisha vizuri.
Ukirejea vizuri utaona niliandika kuna neno "some" sikusema kila mwanamke.

Wewe umegeneralize.
 
mwanamke anakuja na namna ulivyomwendea, sasa wewe umeenda na swaga za kujigamba kuwa una hela, siku ya kwanza tu ili akuelewe ulimtumia 50k ndo ukaanza kumtongoza umeshajiwekea thamani ya mgodi.

mimi nina cycle ya wanawake wengi mpaka wengine nawaweka pending na sijawahi toa hata mia, ni mwendo wa kuwajaza misifa tu wanatamani mda wote wawe na mimi. nilishawawekea misingi toka mwanzo kiasi kwamba wanajua wakiomba hela tu wananipoteza, easy tu

hawa walioko pending nina mpango niwadirect kwa secretarybird mwingine nimpe kazi ya kumtoa uvulana Mbaga Jr
 
hawa walioko pending nina mpango niwadirect kwa secretarybird mwingine nimpe kazi ya kumtoa uvulana Mbaga Jr
Kwa heshima yako mkuu, mm siwezi kupingana na maelekezo yako boss.

Nipo tayari kutolewa uvulana wangu, na lailon iliyofunga uboo wangu ntaiweka makumbusho Ili iwe alama ya kujitunza dhidi ya wanawake wenye kaswende kama Seran 😎
 
dah niliyetaka kukupatia umeshasema ana kaswende, umejuaje kijana? naanza kupata mashaka hiyo nylon ulifunga baada ya kupitia hekaheka za kaswende na visonono
 
Back
Top Bottom