Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwahiyo kumbe na wewe si bikra? Shenzi kabisa!Naijua hiyo 😋
Kwahiyo kumbe na wewe si bikra? Shenzi kabisa!Naijua hiyo 😋
Simu Imejitype mkuu 😔ushahidi umeutoa mwenyewe kaka mkubwa
Hua naangalia X siku moya moya Ndo nikaona Huko 😎Kwahiyo kumbe na wewe si bikra? Shenzi kabisa!
Kuna muda simu yangu hua inachanganyikiwasimu yako ipo very smart ina type ukweli, na haikosei grammar 🤣
Pole sana,unatumiaje visimu vya ajabu ajabu hivi? j3 njoo ofisini kuna aifoni 17 itakufaaNisamehe, itel yangu imeharibika kipo Hua inajitype 😎
Takupigia tulia..Njoo pm 😎
Jinsi walivyo pendeza na kujikwatua utadhani hawana shida mguse sasa uone list ya bills atakazokupa utakimbia
NB, mke mmoja hatoshi
Unaona ulivyoshindikana kijana?🫴🏾Hua naangalia X siku moya moya Ndo nikaona Huko 😎
Natumia kama mafunzo incase atakayekuja kunitoa uvulana wangu akihitaji mbwembwe 😎Unaona ulivyoshindikana kijana?🫴🏾
Mapema sana niko hapo boss 😎Pole sana,unatumiaje visimu vya ajabu ajabu hivi? j3 njoo ofisini kuna aifoni 17 itakufaa
Namba yangu ile ile inaanza na 0Takupigia tulia..
Hakuna mwanamke mwenye hii akiliuzuri ni kwamba bei za viwanja hazifanani kwa nchi nzima.
So, hizo unazompa kwa kuziona ni hela ndogo ndogo, hizo hizo ndo mwishowe ananunua kiwanja.
Akipiga mzinga wa 10k, 15k, 20k, 30k, 80k, sometimes 100k plus, after some few months yupo na pesa ya kununua kiwanja.. Au hautaki?
So, ukimpa pesa, mpe tu pesa, usimpangie matumizi.. ukiweza kutoa 100k wewe mpe, ukiweza 1M toa, ukiweza 3M. toa. Hata ukiweza USD 300K wewe mpe tu. Jikune mkono unapofika.
Kama unawajua hawa utachagua mwenyewe kati yako na Kuni nani atamchoma mwenzieHua naangalia X siku moya moya Ndo nikaona Huko 😎
Khee! Kwanza ilivyo kazi kuanza na kijana mpya!🫢Natumia kama mafunzo incase atakayekuja kunitoa uvulana wangu akihitaji mbwembwe 😎
Nimemwambia anasema hanielewi nikachoka! Ukakusanye ef 10, 10 mpaka zifike 2m!Hakuna mwanamke mwenye hii akili
Bado sijafikia hii levelKama unawajua hawa utachagua mwenyewe kati yako na Kuni nani atamchoma mwenzieView attachment 3575576
Kwakuwa ntakuwa tayari kutolewa uvulana, bc itakuwa kazi nyepesi tuu 😎Khee! Kwanza ilivyo kazi kuanza na kijana mpya!🫢View attachment 3575577
Bado sijafikia hii level