Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

Pumbu wewe🤣
Mdogogo wangu si NIKAKUTANA na kadada kaliwa na kaduka flani kakuibia ibia basi nikakatokea kakachomoa BAADA ya siku mbili kakaniibukia nikakaambia si ulikataa kakasema hapana nilikuwa nakufikiria kukauliza umekubali hakajibu chochote .

Kesho yake kalaanza kupiga mizinga ya mara 50k mara 30k mara 100k ebo nilisema nimekutana na jini au MTU,
 
baadhi ya wanaume pia wanaomba
ukiona mtu anaomba jua ana shida
Ukiona mwanaume anaomba hela kwa mwanamke ni majigambo kuwa anakuweza sio shida ila wanawake walio wengi ni ombaomba
 
Tangazo kama ili kukosa picha/video clip sw n takataka tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mdogogo wangu si NIKAKUTANA na kadada kaliwa na kaduka flani kakuibia ibia basi nikakatokea kakachomoa BAADA ya siku mbili kakaniibukia nikakaambia si ulikataa kakasema hapana nilikuwa nakufikiria kukauliza umekubali hakajibu chochote .

Kesho yake kalaanza kupiga mizinga ya mara 50k mara 30k mara 100k ebo nilisema nimekutana na jini au MTU,
Hahahaaa pole mkuu shida mbaya sana! 😅

Mizinga ya hapa na pale😁
 
mwanamke anakuja na namna ulivyomwendea, sasa wewe umeenda na swaga za kujigamba kuwa una hela, siku ya kwanza tu ili akuelewe ulimtumia 50k ndo ukaanza kumtongoza umeshajiwekea thamani ya mgodi.

mimi nina cycle ya wanawake wengi mpaka wengine nawaweka pending na sijawahi toa hata mia, ni mwendo wa kuwajaza misifa tu wanatamani mda wote wawe na mimi. nilishawawekea misingi toka mwanzo kiasi kwamba wanajua wakiomba hela tu wananipoteza, easy tu

hawa walioko pending nina mpango niwadirect kwa secretarybird mwingine nimpe kazi ya kumtoa uvulana Mbaga Jr
Hahaha. Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom