Hiyo ni gross au net?Professa si tulikubaliana analipwa million 6 au?
GrossHiyo ni gross au net?
Mhh kama ni hii mbona ni ya kawaida sasa!!,Professa si tulikubaliana analipwa million 6 au?
Njaa sio suti kwamba ukiivaa itakupendezaSasa mbona wakistaafu ukimbilia vyuo binafsi kuomba tena ajira
Mashirika gani mkuu ?Sio kweli
Kuna mashirika ya uma kibao staff wao wana elimu ndogo kuliko ma professor ila wanalipwa mishahara mikubwa kuliko hao maprofessor
Magufuli alivyoongelea mishahara ipunguzwe ni sababu aliona watu wanakunja hela kweli kweli kwenye mashirika ya uma
Nn ambacho hakijuiUsilolijua ni Kama usiku wa giza.
Huyo hajui
Bahati mbaya hakubainisha na sisi hatukumuuliza pia mkuuuMishahara mkubwa kuanzia tarakimu ngapi? Au mkubwa kivipi?
Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
Na yeye hatakuwa ameelimika ...hatuwezi kufanya kazi sehemu moja au kazi moja wote kuna DIVISION OF LABOUR aache uzwazwa.Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Na wanaodai wametolewa jalalani walimaanisha nini?Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)