INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Kwamba Mshahara wa Professor ni Mkubwa kuliko Majaji? [emoji2375]