Ukiwatoa wabunge, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma ndio wanalipwa mishahara mikubwa

kuna kada sitoitaja humu,huwa tunaidharau sana ila kwenye hiyo kada kuna level fulani ukifika unakunja 11m. huo ni mshahara,posho ni kama 1+m
profesa huyo alishiba ugali akaamua kuropoka tu
Itaje kwa manufaa ya vizazi vyetu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna jamaa operator wa mtambo flan hiv adim sana katika moja ya migodi ya Barrick anakunja 15M kwa mwezi dah jamaa ana bahat sana huo ujuz wenyewe alipelekwa kusomea na haohao wa canada.

Professor wako atakua anavuta hata 20M hivi si ndio?
Daah umenikumbusha machungu sana! Nilipataga bahati ya kwenda kusomeshwa hii na Barrick ya mgodi wa Bulyang'hulu wenyewe miaka kadhaa imepita ila jamii iliyokua inanizunguka alinikatili huwa nikikumbuka natamani kulia.. Wale wazungu pia walisikitika sana.

Basi bana maisha lazima yaendelee haikua ridhiki..
 
Soma komenti zote za wachangiaji, haihitajiki Phd kupata ukweli wa Professor wako alichokisema
.
Wewe ni academician wa chuo. Ulitaka kujua kama mnalipwa zaidi ya kada zingine. Ukweli ni kuwa mnapigwa gepu kubwa sana na baadhi ya kada nyingi[emoji38][emoji38]
Hahaaàaaa ramli chonganishi mkuuu

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.

Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
INategemea mshahara mnono ni kiasi gani kwa mtazamo wako
 
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.

Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Na sisi wa mishaara ya laki tatu na nusu tunakaa wapi kwenye huu Uzi maana kila nikiangalia sioni pa kupumzika...

Hii sunia haiko fair kabisa yaani na lidegree langu nakula laki tatu ya mateso na masimango kutoka kwa muhindi..
 
Mwambie aendw ATCL pale atajiona ni pimbi tu..kuna dogo mdogo tu pale anakunja 9m...ni mshkaj wangu..na hana hata nyumba ndo maajab sasaa..ila anaongoza kwa kuhama nyumna za kupanga..leo yuko masak kesho yuko mikochem...apartment za hatar...mlevi pia..ilaa ni kichwa balaa yuko sehem nyeti sana hapo airtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.

Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Weka number za ujira wake sio maneno. Maana inaweza kuwa ni Inspiration tuu Watu wakaze buti brother
 
Mwambie aendw ATCL pale atajiona ni pimbi tu..kuna dogo mdogo tu pale anakunja 9m...ni mshkaj wangu..na hana hata nyumba ndo maajab sasaa..ila anaongoza kwa kuhama nyumna za kupanga..leo yuko masak kesho yuko mikochem...apartment za hatar...mlevi pia..ilaa ni kichwa balaa yuko sehem nyeti sana hapo airtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka huyooo Professor atemee mate Chini . Kuna viumbe wana mishara Hapa Nchini sema tu Mshahara wa Mtu ni Siri ya Muajiriwa na muajiri
 
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.

Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Profesa wa mchongo huyo unless alikuwa anawarubuni muipende kazi yake.
 
Amesahau Magu alikuja juu baada ya kugundua mchechu wa shirika la Nyumba analipwa million 46 per month
 
Njaa sio suti kwamba ukiivaa itakupendeza
Jordan Belfort : Let me tell you something. There's no nobility in poverty. I have been a rich man and I have been a poor man. And I choose rich every fuckin' time. Because, at least as a rich man, when I have to face my problems, I show up in the back of the limo, wearing a $2000 suit and a $40,000 gold fuckin' watch.hahaha naipenda hii movie
 
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.

Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Analipwa sh ngapi mkuu
 
Back
Top Bottom