Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Majaji gani unaongelea hapa ... Maana mkoa wa Mara kila MTU ana jaji ( babu)Kwamba Mshahara wa Professor ni Mkubwa kuliko Majaji? [emoji2375]
Ukute mshahara wenyewe ni milioni 4 tu, wakati hiyo siku 5 tu unaingiza..Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Akili za kuambiwa changanya na zako ..kuna ma DGs, MDs wa taasisi za umma wana vuta fungu huyo.professor anaomba pooMwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na haponiwa changa hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Extrovert hao viumbe ni waongo, tazama walivyo lambanuteuzi enzi za hayati wengi walikuwa wana chekelea tu..mtazame deputy speaker, ivi fungu analolamba sasa utalifananisha na fungu alilokuwa analamba pale chuo ?Professa si tulikubaliana analipwa million 6 au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah profesa ale 20m, itakuwa sio mshahara wa chuo labda biashara nyingineKuna jamaa operator wa mtambo flan hiv adim sana katika moja ya migodi ya Barrick anakunja 15M kwa mwezi dah jamaa ana bahat sana huo ujuz wenyewe alipelekwa kusomea na haohao wa canada.
Professor wako atakua anavuta hata 20M hivi si ndio?
Barick sio taasisi ya umma.Kuna jamaa operator wa mtambo flan hiv adim sana katika moja ya migodi ya Barrick anakunja 15M kwa mwezi dah jamaa ana bahat sana huo ujuz wenyewe alipelekwa kusomea na haohao wa canada.
Professor wako atakua anavuta hata 20M hivi si ndio?
Sasa DG's na MD's Hawa ni viongozi ambao kwa vyuo vikuu tunawalinganisha na ma VC'sAkili za kuambiwa changanya na zako ..kuna ma DGs, MDs wa taasisi za umma wana vuta fungu huyo.professor anaomba poo
Sasa ktk nchi hii mbunge utamfananisha na professor ?Sasa DG's na MD's Hawa ni viongozi ambao kwa vyuo vikuu tunawalinganisha na ma VC's
Serekali ina hisa zakeBarick sio taasisi ya umma.
Huku kuna waTanzania wenye O-Level ambao ni Mining Equipments Operators walakula gross ya 14-18 millionsProfessa si tulikubaliana analipwa million 6 au?
nimecheka...umasikin sio sifa ni kitu kibaya sanaNjaa sio suti kwamba ukiivaa itakupendeza
msomi mzima anaropoka tu,kuna watu wanavuta helaMwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Hakuna pakupelekwa popote mkuu.Kuna jamaa operator wa mtambo flan hiv adim sana katika moja ya migodi ya Barrick anakunja 15M kwa mwezi dah jamaa ana bahat sana huo ujuz wenyewe alipelekwa kusomea na haohao wa canada.
Professor wako atakua anavuta hata 20M hivi si ndio?
Huyo hajitambui, labda anakaribia kustaafu hivyo hajui yanayoendelea nje ya boxi. Mimi najua waadhiri wenye PhD wanamshahara wa around 2mMwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Na vyuo vya serikali vinapaswa kutoa huduma na sio kuendeshwa kibiashara[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah profesa ale 20m, itakuwa sio mshahara wa chuo labda biashara nyingine