Ukiwatoa wabunge, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma ndio wanalipwa mishahara mikubwa

Huyo anafrustration zake muache na ujinga wake
 
Professa si tulikubaliana analipwa million 6 au?
Duh mi sekta binafsi huo mshahara nilikua nalipwa 4 years back na bachelor yangu. Na other benefits juu,gari kali,nyumba kali, airtime 180k kwa mwezi, perdiem 250k kwa siku nikitoka nje ya kituo cha kazi...na makolokolo mengine kama credit card with 80 percent cash advance and purchase, makopo ya maziwa, membership ya corporate clubs etc. Serikalini sometimes miyayusho sijui ni uoga
 
Naomba connection mkuu
 
Kuna jamaa operator wa mtambo flan hiv adim sana katika moja ya migodi ya Barrick anakunja 15M kwa mwezi dah jamaa ana bahat sana huo ujuz wenyewe alipelekwa kusomea na haohao wa canada.

Professor wako atakua anavuta hata 20M hivi si ndio?
Bila shakaa mkuuu

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Wewe na mwalimu wako wote ni vihiyo.
 
Ni mhadhiri wa urubani levo ile ya juu kabisa na amefikia daraja (la muundo wa cheo kazini) lile la mwisho kabisa!

Mpe hi Senior huyo
 
Soma komenti zote za wachangiaji, haihitajiki Phd kupata ukweli wa Professor wako alichokisema
.
Wewe ni academician wa chuo. Ulitaka kujua kama mnalipwa zaidi ya kada zingine. Ukweli ni kuwa mnapigwa gepu kubwa sana na baadhi ya kada nyingi[emoji38][emoji38]
 
Huyu alikuwa kilaza
Nilistaajabu sana, ukizingatia mimi pia ni Mwalimu.

Swali ni Kwanini Watanzania hatupendi kuzungumza uhalisia / ukweli mambo ulivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…