Ukiwatoa wabunge, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma ndio wanalipwa mishahara mikubwa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Muhuni anashika tama akiwa kaegamia limousine huku kganjani amevaa saa yenye thamani zaidi ya nyumba ya waziri mkuuπŸ˜…
 

Huyo alikuwa motivation speaker!
Au huwajui wale walio uza nyanya Ikulu wakatajirika?
 
Maprofesa 90% ni njaa tu. Theories nyingi kichwani ila mfukoni hamna pesa.
Angalia project za maprofesa na ma Dr wa vyuo vikuu utakuta miradi ya kuku na ngombe 6 wa maziwa ama kiduka cha mpesa. Hawana fedha ya heavy projects.

Magari yao : raum,IST,land cruza third hand, Carina, macedece Benz no A, na mikweche ya Toyota.

Makazi yao nyumba za kawaida sana, hazina tofauti na za std7

Wahashiri kwenye vyuo vikuu vya afya ndio wana maisha ila hawa maprofesa wa Kiswahili,history, Englishinchoka mbaya tu.

Unamkuta vijana std 7 pale kariakoo ana maisha na uhuru wa kiuchumi mpaka unaanza kumwonea huruma profwesa
 

Mtu anashinda na makaratasi waliyoandoka wenzake tu, muda mwingi ni lab na darasani; unaanzaje kumuamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…