Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

Kweli mkuu, unafika lodge au geto na mwanamke wee unavua ishasimama lkn yeye mkavuuu utafikiri hajui kilichompeleka pale, wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kike alafu wanatusingizia sisi.
 
Cha Kwanza sikojoi Hadi nihakikishe yeye amekojoa mara 4au 5..mwanzo alikuwa anasema hajawahi kukutana na mwanaume km Mimi ambae bao la kwanza naenda zaidi ya dakika 30..

Siri ya kuchelewa ni kufanya mazoezi asubuhi na jioni kila siku
Sio kweli sema umeumbwa hivyo mkuu. Kitaalam mwanaume ni dk 2 mpaka 7 zaidi ya hapo ni tatizo.
 
Ni kawaida kabisa100% hakuna udhaifu, Mm nina miaka mingi sana Sijaenda mara tatu, la pili M/mke anagoma hataki sababu ya muda mrefu hufiki mwisho na yeye anakuwa mkavu and tired mnaishia kuchubuana au mnarudi kwenye kupakana mioil.
 
Uzi uwekewe lamination
 
Kwa hiyo mm Nina tatizo? Carlos The Jackal unamsikia huyu jamaa anavyosema? Kwamba mtu akienda zaidi ya dakika 30 nao la Kwanza ni tatizo eti
Ndio mkuu kitaalam huchukuliwa kama tatizo nilisoma makala kadhaa kuhusu hilo, ni kama ile mtu anazaliwa hana tatizo lolote kiafya ila mrefu sana au mnene sana.
 
Kwa hiyo mm Nina tatizo? Carlos The Jackal unamsikia huyu jamaa anavyosema? Kwamba mtu akienda zaidi ya dakika 30 nao la Kwanza ni tatizo eti
Ni ajabu sana mimi nikikomea 25minutes cha kwanza huwa najiona nimewahi sana na hiyo hutokea kwa mpenzi mpya ambaye ndiyo mara yangu ya kwanza ila tukishazoeana basi ni kuanzia dk 50 na kuendelea.
Cha pili ni zaidi ya lisaa limoja sasa sijui wasioridhika kwa viwili huwa najiuliza wana viungo gani tu.
Yaani ufanye sex kwa 1:30 usitosheke???
 
Nusu saa cha kwanza??? Au unapigia kingine bafuni kabla ya mtanange?
Hapana,sifanyi hicho kitu,sinyetuki..nadhani nimefanikiwa ktk kitengo cha kudhibiti hisia,kuna muda nahisi bao linataka kuja lkn sinaga papara nalirudisha.Hivi unajua sex Kwa mwanaume ipo kichwani kwake? Alafu kingine ni kwamba sex ni art km ilivyo sanaa nyingine Tu,so ukijua namna ya kuifanya hiyo Sanaa basi sidhani km mwanamkea atathubutu kukuacha 😁😁

Kwa maelezo zaidi muone huyu mkuu Carlos The Jackal mana kuna Uzi niliona anaongea kitu km hiki pia nikasema kumbe siyo Mimi Tu tupo wengi ambao tunaweza kumudu hili tendo Kwa zaidi ya nusu saa bao la kwanza
 
Nyie ndio mnatuharibia wanawake kwa ulemavu wenu[emoji23][emoji23], ukiskia mwanamke akisema kimoja hakimtoshi ni kwa wale dk2 adi 10 washakojoa lkn kuendelea hawezi tena adi wapumzike.
 
Hapa umenigusa sana, k zimeniharibia life kwa kiasi kikubwa sana.
Zimelemaza wengi; huwezi kushindana na ulipotoka mkuu; BAO MOJA LINATOSHA, unawaza na pesa!

Wanaosema mabao mengi, waulize mbona wakiendaga kwa wahaya wanatupiaga vingapi?
 
K mnato halafu unakimbia tena,shida nini mkuu?
 
na wasiwasi na uwezo wako wa kunjunja ,mm binafsi nkipga 1 ngoma hailali naunga humohumo mpka nakuja kustuka kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…