Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hahahah sawa boss kazi, bila shaka unaenda sawa na wakinga!Tuoneshe Forex uliofanya ukiwekeza 20m baada ya mwezi ukapata 20m. Nyinyi watu wa Forex kila siku mnasema ukiwekeza milioni hizi baada ya mwezi unapata 20,30 or 50m ila mkiweka screenshot ni za $100/$200 hela ambayo mtu wa Kariakoo anapata kwa muda mfupi sana.
Being rich or not doesn't concern you bro. Ni vile kila mtu anaamua kufanya kile anachoona kinamfaa kwa namna yake.You must be very rich now....70% return in a business congrats!
70% return very impressive.Being rich or not doesn't concern you bro. Ni vile kila mtu anaamua kufanya kile anachoona kinamfaa kwa namna yake.
Kweli inaweza kurudi hata chini ya muda huo lakini vilevile inaweza kupotea yote ndani ya muda huoforex hata masaa 6 hiyo 20m inarudi
ndio ujue for every action there is an equal and oposite reactionKweli inaweza kurudi hata chini ya muda huo lakini vilevile inaweza kupotea yote ndani ya muda huo
Sent using Jamii Forums mobile app
You wanna get involved? Gotta be used to freak out with the PoPo's first.70% return very impressive.
Would love to but my hands are 'full'You wanna get involved? Gotta be used to freak out with the PoPo's first.
My niggah. Thats how we roll dawg..dont sweat the technique!!!Would love to but my hands are 'full'
Don't tryNaomba mnijuze vizuri kuhusu hiyo forex
Many thanks buddyDon't try
Mkuu, msingi unaotumia wewe kupanga bei ya bidhaa ni upi?You must be very rich now....70% return in a business congrats!
Kila bidhaa ina msingi wake. Mfano kitu chenye gharama ya kununua 500,000 siwezi kutumia kikoteo Sawa na kitu chenye gharama ya kununua 5,000/-.
Sawa. Then msingi wa bidhaa ghali upoje na msingi wa bidhaa zenye bei ya chini upoje?Kila bidhaa ina msingi wake. Mfano kitu chenye gharama ya kununua 500,000 siwezi kutumia kikoteo Sawa na kitu chenye gharama ya kununua 5,000/-.
Ya chini unaweza kuweka hata 200%, ya juu chini ya 100%. My rule sio universal.Sawa. Then msingi wa bidhaa ghali upoje na msingi wa bidhaa zenye bei ya chini upoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kiongozi, humu tunabadilishana mawazoYa chini unaweza kuweka hata 200%, ya juu chini ya 100%. My rule sio universal.