Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kwa uzoefu wangu wa biashara aina nyingi za biashara zinalipa inategemeana hiyo biashara unafanyia wapi...wapo wanaolia kuhusu biashara ya usafiri ili kuna maeneo inawalipa vizuri,Wengine spare za magari zinawakata maeneo mengine zinawalipa vizuri,Nguo au Vipodozi na urembo maeneo mengine ipo vizuri,Wanaofanya International trade kuchukua bidhaa nje ya Nchi wengine kwa kutokya na taarifa achukue nini na akauze wapi bado anaona mambo hayapo ok... Cha msingi katika biashara ni taarifa sahihi za biashara ndio nguzo kuu...uchukue nini na wapi ukauze hata wauzaji mkiwa wengi utapata pesa tuu...