Ukiwekeza 20M, return inabidi iwe ndani ya muda gani?

Ukiwekeza 20M, return inabidi iwe ndani ya muda gani?

Kwa uzoefu wangu wa biashara aina nyingi za biashara zinalipa inategemeana hiyo biashara unafanyia wapi...wapo wanaolia kuhusu biashara ya usafiri ili kuna maeneo inawalipa vizuri,Wengine spare za magari zinawakata maeneo mengine zinawalipa vizuri,Nguo au Vipodozi na urembo maeneo mengine ipo vizuri,Wanaofanya International trade kuchukua bidhaa nje ya Nchi wengine kwa kutokya na taarifa achukue nini na akauze wapi bado anaona mambo hayapo ok... Cha msingi katika biashara ni taarifa sahihi za biashara ndio nguzo kuu...uchukue nini na wapi ukauze hata wauzaji mkiwa wengi utapata pesa tuu...
 
Tuoneshe Forex uliofanya ukiwekeza 20m baada ya mwezi ukapata 20m. Nyinyi watu wa Forex kila siku mnasema ukiwekeza milioni hizi baada ya mwezi unapata 20,30 or 50m ila mkiweka screenshot ni za $100/$200 hela ambayo mtu wa Kariakoo anapata kwa muda mfupi sana.
Hahahah sawa boss kazi, bila shaka unaenda sawa na wakinga!
 
Back
Top Bottom