Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Big Pharma Propaganda zinawalisha watu content feki huku zikiwa na agenda zao binafsiKuna watu wanakula vitu hivyo na wanamiaka zaidi ya mia Sasa, madaktari mmekuwa waongo sana siku izi, Tuangalie vyanzo vingine vya magonjwa tuachane na siasa.
...so tusile mahindi ya kuchomaWakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.
Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.
Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
DR Mambo JamboKuna watu wanakula vitu hivyo na wanamiaka zaidi ya mia Sasa, madaktari mmekuwa waongo sana siku izi, Tuangalie vyanzo vingine vya magonjwa tuachane na siasa.
Kwa hivyo, Wamasai, Wamang'ati, Wachagga, Wakurya, wote wanakabiliwa na ugonjwa wa kansa?Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.
Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.
Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
Binafsi niliwahi kupata shida hiyo nikaelezwa smoked food inasababisha cancer nikiwa katika matibabu hapo HCG Mumbi- India.Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.
Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.
Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
Unaweza kupunguza mkuu kwa kuanziaKumbe? Ngoja niache
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aseee mbona mnataka maisha yawe magumu sana jamani