Ukiweza punguza au acha kabisa matumizi ya vyakula vya kuchoma na kukaanga

Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.

Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.

Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
Aaghh wacha tu
 
Chai
 
Shida iliyopo Tanzania sasa hivi wagonjwa ndio wanajitia washauri wa watu wenye afya zao

Mtu anaambiwa usile hiki ba hiki kwa sababu ya ugonjwa alionao kama ukimwi nk anageuka mshauri wengine wasile
Mleta maada tafuta tiba.Acha masai wale nyama choma zao na wenye afya zao wala vya kukaanga waendelee kula wenye afya zao.wewe endelea na dozi
 
Bora umsaidie dk. Janabi maana peke yake hatoweza kuwafikia watu wote
Yeye mwenyewe Dk Janabi unaona ngoxi yake ilivyopauka? haina mng'ao wa ngozi ya binadamu yenye afya

Ukimwangalia unaona kabisa huyu ana shida ya maradhi au lishe au vyote viwili na uwezekano mkuvwa ni vyote viwili
Atafute tiba na yeye asisingizie vyakula
 
Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.

Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.

Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
Wachache watakuelewa wengi wao watakushambulia kama anavyoshambuliwa Janabi
 
Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.

Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.

Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
Tule michemsho au sio
 
Vitu vya kuchoma? Umesababisha nimkumbuke sana hayati Bob Marley. Alikua anapenda sana kuvuta vitu vya kuchoma.
 
Hata mseme mkiwa mmebinjuka siwezi acha kula kitimoto choma kaanga au rost
pia siwezi acha kula kondoo choma
pia siwezi acha kula mbuzi choma
na siwezi acha kula ngombe choma

labda mje kushauri namna ya ulaji na mpangilio wake ila kuachabkabisa labda niambiwe na doc kwamba ukila kesho hutoboi...

hebu imagine unaweka kilo ya kitimoto mezani ikiwa na ndizi nne hivi kachumbari yenye pilipili nyingiiiiii alafu package inakuja na coke ya baridiiii kama barafu na grandmalt ya kumixia weuwe😋😋😋
 
Hii agenda ya Cancer mbona mna i push sana???, ngalia usije kutumika kama wakala wa Big pharma ku push agenda usizozijua.
Ukimiliki account ya social media, uko katika risk kubwa sana ya kupigia kampeni ajenda za watu ambazo hata hauelewi malengo yake, hujui zinaanzia wapi wala matokeo yake yatakuja kuwa nini.

1.Big phama agenda’s
2.LGBTQ
3.Racism
4.Beauty standars
5.Feminism
6.Misogynistic
7.Anti religion
8.Pro religion

Etc.
 
Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.

Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.

Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
Hivyo tu? Duuh!! Noma kweli
 
Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.

Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.

Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
yaani tuache nyama choma na mahindi choma
 
Back
Top Bottom