Ukiweza punguza au acha kabisa matumizi ya vyakula vya kuchoma na kukaanga

Ukiweza punguza au acha kabisa matumizi ya vyakula vya kuchoma na kukaanga

Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.

Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.

Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
Kwahiyo waluoleta barbeque hukoarekani wote Wana kansa,hatutaki kupangiwa mambo,hiyo ni ugonjwa wa afya aya akili
 
Shida iliyopo Tanzania sasa hivi wagonjwa ndio wanajitia washauri wa watu wenye afya zao

Mtu anaambiwa usile hiki ba hiki kwa sababu ya ugonjwa alionao kama ukimwi nk anageuka mshauri wengine wasile
Mleta maada tafuta tiba.Acha masai wale nyama choma zao na wenye afya zao wala vya kukaanga waendelee kula wenye afya zao.wewe endelea na dozi
Janabi anasumbuliwa na kisukari
 
Hata mseme mkiwa mmebinjuka siwezi acha kula kitimoto choma kaanga au rost
pia siwezi acha kula kondoo choma
pia siwezi acha kula mbuzi choma
na siwezi acha kula ngombe choma

labda mje kushauri namna ya ulaji na mpangilio wake ila kuachabkabisa labda niambiwe na doc kwamba ukila kesho hutoboi...

hebu imagine unaweka kilo ya kitimoto mezani ikiwa na ndizi nne hivi kachumbari yenye pilipili nyingiiiiii alafu package inakuja na coke ya baridiiii kama barafu na grandmalt ya kumixia weuwe😋😋😋
Grandmalt mix kwa fanta baridi mkuu, ladha hiyo sijawahi kuipata popote.
 
Janabi anasumbuliwa na kisukari
IMG-20240228-WA0060.jpg
 
Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.

Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.

Matumizi ya vitu hivyo ni mojawapo ya vichocheo vya ugonjwa wa kansa.
Samahani ndugu mleta mada si kwa ubaya[emoji120], ni katika kuelimishana na kujengana ila nachojua, Hili ni jukwaa kwa ajili ya kupeana elimu sahihi kuhusu afya, basi ni vyema kuwe na references au maelezo ya kutosha kuhusu taarifa ikiwemo chanzo sahihi cha habari, kwa nini, kwa Sababu gani, inakuwaje?, Maana wengi tunasikiliza porojo za watu, kwa kuwa wengi wamesema chips zina madhara kwa wanaume (Ni mfano nimetoa) basi unaishia kuhitimisha, zina madhara bila kujua ni madhara gani?, yanatokeaje?, kwanini yatokee? na je ni kwa wote au baadhi tu, ndio maana kuna tafiti zinafanywa watu hawalali ili kugundua ukweli na uhalisia wa mambo sio kwa kuwa wengi wamesema, I think Africans especially my country people we have a long way to go, nisinukuliwe vibaya maana sijakataa wala kukubali uwepo au kutokuwepo kwa madhara but we need facts to make conclusions, not personal opinions
 
Kuna watu wanakula vitu hivyo na wanamiaka zaidi ya mia Sasa, madaktari mmekuwa waongo sana siku izi, Tuangalie vyanzo vingine vya magonjwa tuachane na siasa.
Na ukifatilia wala si madaktari, ni watu tu wamemake conclusion zao, kwa Sababu zimeemea sana, basi inachukuliwa kama ukweli lakini vingi ya vinavyosemwa havina uthibitisho wa tafiti yoyote au sayansi yoyote ni maoni ya watu binafsi yaliyoenea sana na mwisho kuchukuliwa na jamii kama ukweli
 
Hii agenda ya Cancer mbona mna i push sana???, ngalia usije kutumika kama wakala wa Big pharma ku push agenda usizozijua.
Na ukimuuliza mtaalam yoyote wa afya about cancer anajua inavyotokea ni kwenye kinasaba kilichogoshiwa (Gene mutation) ambacho hupeleka maelekezo ya kutengeneza proteins kinyume na utaratibu wa awali mara nyingi kama sio zote huwa ina kuwa overproduction of proteins molecules than need that's Why most Cancers came with big tumors (cancerous cells) sasa kutoka kwenye frying foods mpaka kwenye gene mutation ndio atueleze inakuaje sio porojo za mitaani tu fulani kasema
 
Maana kuna mtu alisema tupunguze matumizi ya nyama (kula nyama). Sasa ukiangalia Watanzania wenyewe nyama wanazokula, mishikaki miwili, nusu kilo ya ng'ombe tunakula familia nzima tena siku 2.

On average mtu anatakiwa ale atleast kilo 75 ya nyama kwa mwaka. Ni kama wastani wa kilo moja na nusu kwa week. Ukizidisha hapo zaidi ndio unaweza pata shida kutoka kwa bwana nyama.

So na mtoa mada ungeweka vizuri kwamba chips kula kiasi iki, pizza kiasi hiki, etc kwa week au mwaka
Ukweli ni kwamba most conclusions about those things are from personal opinions not medical point of views, of course somehow there might be truth, but they should tell us how to defend that
 
Ulaji mbovu unapingwa kiafya sababu madhara utayaona umri ukishaanza gonga 45+
Ukiwa kijana system bado inachakata.
Hitimisho: Unapoishi upigie mahesabu uzeeni!
Ndio maana kiafya chakula cha mzee na cha young teenager hakipaswi kuwa kile kile, in terms of quantity and quality, so msiwaogopeshe watu kiasi hicho, kweli miili itakapobadilika watahitaji kubalisha ulaji ili kuweza ku sustain life demand lakini sio wakati bado miili ina mahitaji,
 
Shida iliyopo Tanzania sasa hivi wagonjwa ndio wanajitia washauri wa watu wenye afya zao

Mtu anaambiwa usile hiki ba hiki kwa sababu ya ugonjwa alionao kama ukimwi nk anageuka mshauri wengine wasile
Mleta maada tafuta tiba.Acha masai wale nyama choma zao na wenye afya zao wala vya kukaanga waendelee kula wenye afya zao.wewe endelea na dozi
Hiki kitu kimeathiri wengi sana unakuta mtu kazuiliwa asitumie sukari kwa Sababu zake za kiafya ndio kwanza anakuwa Mhubiri sukari ni mbaya, just because kazuiliwa na Daktari wake, kumbe ni afya yake haimruhusu, ndivyo ilivyo karibu katika kila kitu watu tunaishi kwa personal opinions za watu wakati mwingine hazina mantiki ya kitabibu kisa wengi wanaamini au wanasema hivyo
 
Wachache watakuelewa wengi wao watakushambulia kama anavyoshambuliwa Janabi
Hamna wa kumshambulia tunahitaji kujua ukweli na kujifunza usahihi wa mambo sio kusikia fulani kasema hivi yule anaamini vile, lazima tupate maarifa sahihi sio kukariri tu maisha ndugu yangu, ndio maana wataalam na tafiti ni nyenzo muhimu sema wabongo tunavyopenda uzushi, utashangaa mtaalam wa afya husika anapingwa kwa Sababu ya uzushi wa mpiga debe mmoja deiwaka [emoji16], aliokaririshana na wenzake walipokuwa wametoka kucheck game waliopigwa
 
Ukimiliki account ya social media, uko katika risk kubwa sana ya kupigia kampeni ajenda za watu ambazo hata hauelewi malengo yake, hujui zinaanzia wapi wala matokeo yake yatakuja kuwa nini.

1.Big phama agenda’s
2.LGBTQ
3.Racism
4.Beauty standars
5.Feminism
6.Misogynistic
7.Anti religion
8.Pro religion

Etc.
Hundred percent [emoji817] correct
 
Back
Top Bottom