The choosen one
Senior Member
- Dec 6, 2021
- 199
- 253
Mfano mzuri iliaminika na wengi kuwa masterbation ni chanzo kikubwa cha wanaume kupoteza nguvu za kiume, lakini tafiti zimekuja kuonesha sio kweli, ila kwa asilimia kubwa it's psychological problem kuwa wengi wao kama walizoea kuangalia zile picha mbaya zina mchango fulani katika kuharibu psychology ya tendo halisi, maana mengi yanayofanyika mule hayana uhalisia na kitendo husika haina tofauti sana na editing zinazofanywa kwenye maigizo mengine ya movies na hili hutibika hata bila dawa mtu anapoacha na kupata msaada zaidi wa wataalam wa afya ya akili lakini kingine kilichogundulika ni ulaji mbovu , na mtindo wa maisha mbovu (kukosa mazoezi ya mwili), lakini watu walishalishwa uongo ambao mpaka leo huwezi mwambia mtu akakuelewa, hata kama hajui utendaji kazi wa mwili lakini alivyoshikilia jambo utafikiri candidate ana defend thesis yake kwenye jopo la ma professor apate doctorate, lakini tunaishi nao finally wataelewa na wengine ni wanataaluma kabisa ingawa sio medicine but ni wasomi kwa faculty yao lakini ndio kwanza kama elimu yao haiwasaidii kupambanua mambo.
Note: Ieleweke si support Masturbation hata kidogo, ili niliweke wazi wasije anza kuleta habari nyeusi tena ila ukweli lazima usemwe Tanzanians we need to change.
Note: Ieleweke si support Masturbation hata kidogo, ili niliweke wazi wasije anza kuleta habari nyeusi tena ila ukweli lazima usemwe Tanzanians we need to change.