amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,834
- 4,161
Habari,
Maisha ya bara letu ni changamoto sana. Kitendo cha kuzaliwa hai na una pumua ni mzigo tosha, inafika kipindi unajiuliza nilizaliwa kuja kubeba majukumu yote haya?
Kusoma kwa kuungaunga na ukimaliza kazi hamna, na kama ukipata kazi ukoo mzima unakutegemea na bado hujaanza ku-settle maisha yako na familia yako. Kazi zenyewe mshahara hand to Mouth Duh! Kazi sana. Africa usipokaza buti umepoteza ramani na utatengeneza viscous circle of poverty kwa wanao kufuata.
Tupambane wakuu coz yajayo ndo magumu zaidi.