Ukizaliwa Afrika tayari life limekuchapa 3-0, kuchomoa na kuongeza ni juu yako!

Habari,
Maisha ya bara letu ni changamoto sana. Kitendo cha kuzaliwa hai na una pumua ni mzigo tosha, inafika kipindi unajiuliza nilizaliwa kuja kubeba majukumu yote haya? Kusoma kwa kuungaunga na ukimaliza kazi hamna, na kama ukipata kazi ukoo mzima unakutegemea na bado hujaanza ku-settle maisha yako na familia yako. Kazi zenyewe mshahara hand to Mouth Duh! Kazi sana. Africa usipokaza buti umepoteza ramani na utatengeneza viscous circle of poverty kwa wanao kufuata.

Tupambane wakuu coz yajayo ndo magumu zaidi.
0-8976
 
Sasa mtu umezaliwa Tanzania unasema eti mechi ni 3-0,

Asubuhi unapata chai na maandazi bila shida yoyote.

Je wanaozaliwa Goma waseme ni ngapi ngapi?
Mmmh nao ni dunia nyingine kabisa
 
Afrika jau Mzee
Ushapigwa 3-0 na una red card 2
Unachofanya ni kupaki basi tuu usiongezwe
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Screenshot_20240717-203442.jpg
 
Nilichomoa hizo tatu nikawa naongoza 3-4 mwaka jana life likarudisha double hattrick saiv tupo 9-4 na nishakata tamaa hata droo sipatiiii over
Daaaa gepu n 5 bilaaa hapo ,ila maishaaa bac tu
 
Unakabidhiwa jezi ,ushakula 3 na mchezo bado hujaelewa.Ni kamzozo.Tena kakubwa.
 
Habari,

Maisha ya bara letu ni changamoto sana. Kitendo cha kuzaliwa hai na una pumua ni mzigo tosha, inafika kipindi unajiuliza nilizaliwa kuja kubeba majukumu yote haya?

Kusoma kwa kuungaunga na ukimaliza kazi hamna, na kama ukipata kazi ukoo mzima unakutegemea na bado hujaanza ku-settle maisha yako na familia yako. Kazi zenyewe mshahara hand to Mouth Duh! Kazi sana. Africa usipokaza buti umepoteza ramani na utatengeneza viscous circle of poverty kwa wanao kufuata.

Tupambane wakuu coz yajayo ndo magumu zaidi.
Yaani wale watoto wa kikwete nao ni 3-0 au?
 
Shida ni miundombinu mkuu,maisha Afrika ni rahisi sana na rasilimali ni za kutosha,tatizo ni mipango tuu,Ulaya ni kugumu kuliko unavyodhani,maana ili utoboe lazima uwe msanii naarufu,mwanamichezo hodari ndio Ulaya wengi wanatoboa!Hapa kwetu kuamka tajiri ni rahisi mno mkuu ukiweka Marengo murua.
 
Kweli mkuu lakini mpaka kutoboa inahitaji jitihada za hali ya juu
 
Sasa mtu umezaliwa Tanzania unasema eti mechi ni 3-0,

Asubuhi unapata chai na maandazi bila shida yoyote.

Je wanaozaliwa Goma waseme ni ngapi ngapi?
Nao wanashida zao kama sisi tu
 
Back
Top Bottom