Ukizaliwa Afrika tayari life limekuchapa 3-0, kuchomoa na kuongeza ni juu yako!

0-8976
 
Sasa mtu umezaliwa Tanzania unasema eti mechi ni 3-0,

Asubuhi unapata chai na maandazi bila shida yoyote.

Je wanaozaliwa Goma waseme ni ngapi ngapi?
Mmmh nao ni dunia nyingine kabisa
 
Afrika jau Mzee
Ushapigwa 3-0 na una red card 2
Unachofanya ni kupaki basi tuu usiongezwe
 
Reactions: EEX
Nilichomoa hizo tatu nikawa naongoza 3-4 mwaka jana life likarudisha double hattrick saiv tupo 9-4 na nishakata tamaa hata droo sipatiiii over
Daaaa gepu n 5 bilaaa hapo ,ila maishaaa bac tu
 
Unakabidhiwa jezi ,ushakula 3 na mchezo bado hujaelewa.Ni kamzozo.Tena kakubwa.
 
Yaani wale watoto wa kikwete nao ni 3-0 au?
 
Shida ni miundombinu mkuu,maisha Afrika ni rahisi sana na rasilimali ni za kutosha,tatizo ni mipango tuu,Ulaya ni kugumu kuliko unavyodhani,maana ili utoboe lazima uwe msanii naarufu,mwanamichezo hodari ndio Ulaya wengi wanatoboa!Hapa kwetu kuamka tajiri ni rahisi mno mkuu ukiweka Marengo murua.
 
Kweli mkuu lakini mpaka kutoboa inahitaji jitihada za hali ya juu
 
Sasa mtu umezaliwa Tanzania unasema eti mechi ni 3-0,

Asubuhi unapata chai na maandazi bila shida yoyote.

Je wanaozaliwa Goma waseme ni ngapi ngapi?
Nao wanashida zao kama sisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…