Ukizaliwa na watu wa "System" ni raha sana, wataandaa mambo mazuri kwaajili yako

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Hapa ni kuwa tayari kubebeka, maana wa kukubeba wapo wengi ni kuchagua mgongo huu unibebe na mgongo huu usinibebe.

Just imagine, wakati wengine wanapambana kupata kazi kwenye Taasisi ndogondogo Daddy anakuja na list ya Taasisi kubwa na nyeti kwenye Taifa anakwambia son chagua Taasisi ya kufanyia kazi.

Life is game, but it's not fair.
 
Na hili lengo lifikiwe ni kuwafanya wengi wao kuwa mazuzu, uwa elimu then unabakiwa na mazuzu, UPE &Kanumba sec ni uuaji wa elimu wakati wao watoto wao wanasoma Harvard, wakirudi systems inawapokea na kuwapa nafasi ya kutawala
 
Baba alikuwa rais na mwanae anakuwa rais kupitia msaada wa Baba ni full connection na wakati huo Kuna vijana kila uchwao ni mguu na njia na bahasha za khaki kwa mkono.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kama Pascal Mayalla mzee wa watu kazungukaa wee lakini hata jina halipiti.Bongo nyoso hawaangalii unanini kichwani,ila ni unaconnection gani nyuma!!
 
kama Pascal Mayalla mzee wa watu kazungukaa wee lakini hata jina halipiti.Bongo nyoso hawaangalii unanini kichwani,ila ni unaconnection gani nyuma!!
Paskali mzee wake alikuwaga huko
Sema ndiyo hivyo tena
Hana zali,na mfumo wa sasa haiwataki watu wajuaji kama akina paskali
Mfumo sahvi unataka watu wanaowaweka,wawe remoted, wazee wa ndiyoooo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…