Ndivyo ilivyo, hata wewe ukiwa kwenye channel wakija watu wawili mmoja mnajuana na mwingine humjui lazima utakayempa nafasi ni yule mnayejuana hata kama unajua hayupo vizuri kwenye hiyo nafasiHapa ni kuwa tayari kubebeka, maana wa kukubeba wapo wengi ni kuchagua mgongo huu unibebe na mgongo huu usinibebe.
Just imagine, wakati wengine wanapambana kupata kazi kwenye Taasisi ndogondogo Daddy anakuja na list ya Taasisi kubwa na nyeti kwenye Taifa anakwambia son chagua Taasisi ya kufanyia kazi.
Life is game, but it's not fair.