Ukizaliwa na watu wa "System" ni raha sana, wataandaa mambo mazuri kwaajili yako

Ukizaliwa na watu wa "System" ni raha sana, wataandaa mambo mazuri kwaajili yako

Hapa ni kuwa tayari kubebeka maana wa kukubeba wapo wengi ni kuchagua mgongo huu unibebe na mgongo huu usinibebe.

Just imagine wakati wengine wanapambana kupata kazi kwenye Taasisi ndogondogo Daddy anakuja na list ya Taasisi kubwa na nyeti kwenye Taifa anakwambia son chagua Taasisi ya kufanyia kazi.

Life is game but it's not fair.
Si mpaka na wewe ujiongeze> Unaweze ukawa mzembe kama Lemutuz mpaka wazazi wako wakakutelekeza
 
kama Pascal Mayalla mzee wa watu kazungukaa wee lakini hata jina halipiti.Bongo nyoso hawaangalii unanini kichwani,ila ni unaconnection gani nyuma!!
Kuna watu wamejaribu kila njia kufikia malengo yao lakini wapi na kamwe hawatafikia mpaka wanakufa, japo hata mimi yangu bado sijayafikia.
1: Odinga
2: Lowassa
3: Pascal Mayalla
 
Hapa ni kuwa tayari kubebeka, maana wa kukubeba wapo wengi ni kuchagua mgongo huu unibebe na mgongo huu usinibebe.

Just imagine, wakati wengine wanapambana kupata kazi kwenye Taasisi ndogondogo Daddy anakuja na list ya Taasisi kubwa na nyeti kwenye Taifa anakwambia son chagua Taasisi ya kufanyia kazi.

Life is game, but it's not fair.
That is the fucking shit about life,but you can make ur self one of "system guys"get rich,accumulate wealth like Dangote,Bakheresa,Diamond,and then ur kids and kids of ur kids will forever be greatfully to you Great great grand mom or dadyyy
 
Bongo wazazi wanaona sifa wakisema "Nimekulea kwa tabu sana" wakati we ndo umempa mtoto tabu kumzaa kweny umaskini anapteza possibility ya kuja kuwa na Maisha mazuri.

Watu watafute Mali sio kitoto miaka 20 kishavaa majukumu ya familia .
 
babu zao wa hao waliopo kwenye system kipindi kile waliona mbali sana wakati babu yako ww alikua anazunguka zunguka tu
 
That is the fucking shit about life,but you can make ur self one of "system guys"get rich,accumulate wealth like Dangote,Bakheresa,Diamond,and then ur kids and kids of ur kids will forever be greatfully to you Great great grand mom or dadyyy
Motivational speakers kila Kona.
 
Hapa ni kuwa tayari kubebeka, maana wa kukubeba wapo wengi ni kuchagua mgongo huu unibebe na mgongo huu usinibebe.

Just imagine, wakati wengine wanapambana kupata kazi kwenye Taasisi ndogondogo Daddy anakuja na list ya Taasisi kubwa na nyeti kwenye Taifa anakwambia son chagua Taasisi ya kufanyia kazi.

Life is game, but it's not fair.
Wewe dogo, unafikiria kubebwa bebwa tu muda wote.
Hata kazi yenyewe ukipewa upo uwezekano mkubwa kuwa uta underperfom maana unajua hata ukiharibu Daddy atakumegea pande sehemu nyingine.
 
Back
Top Bottom