Ukizaliwa na watu wa "System" ni raha sana, wataandaa mambo mazuri kwaajili yako

Ndivyo ilivyo, hata wewe ukiwa kwenye channel wakija watu wawili mmoja mnajuana na mwingine humjui lazima utakayempa nafasi ni yule mnayejuana hata kama unajua hayupo vizuri kwenye hiyo nafasi
 
Sio jambo jepesi kiwango hicho na Binti anaweza kukubali ila family ikamuwekea vikwazo.
kuna mwingine niliwahi kuona anapendwa na familia ila binti akawa anajishaua, sahivi mwamba kayapatia halafu baba yake binti kibarua kiliota nyasi, anapambana kurudi tena japo umri unamtupa mkono

Raha ya kua hai(maisha), uwe na kitu chako kisicho na makelele, utaenjoy sana na hizi depression utazisikia tu kwenye redio

Kwenye maisha equilibrium isipobalance kati yako na mwenza wako, hata ndoa haikaliki mkuu, labda wa kike apate jamaa wa huko
 
Son chagua taasisi ya kufanyia kazi na mkoa unaotaka ufanyie kazi! Rol kwao n furaha sana but kwetu n uchungu sanaaa! But no way out! Hata mm nikipata nafasi siwezi kumwacha mtoto wangu asote wakati nina uwezo wa kumsaidia! We ushawahi kusikia wapi?? Bc tu sipo kwenye mfumo mkuu! πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…