Ukizaliwa/ukizamia tu America πŸ‡±πŸ‡· tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Yeah,
Ukizaliwa first world country tayari una asilimia kubwa sana ya kufanikiwa kwenye angle zote kimaisha, kimasomo, kiuchumu..nk

Hata wabeba box wengi wenye akili sawsawa waliozamia America, ulaya wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
 
Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,

Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
 
Purchasing power mnayokua nayo mkirudi bongo imebadilisha mindset zetu.
 
Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,

Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
hizo 5% unatia juhudi kidogo tu mambo yanajipa yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…