Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Mkuu naomba connection ya kubeba box abroad, nipe muongozo vitu vya kuandaa nijipange mpaka mwisho wa mwaka.
Saiv trump kaziba mianya yote, ungekua mkenya atleast.

Labda usubiri Democrats wachukue nchi wanaeza kubadili sera zao,( lakini hii itaambatana na ushoga level ya world cup)

Au itokee vita kuu ya 3 ya dunia ukawe frontline
 
Kuna hawa jamaa wanajiita Epvate nimewaona Instagram. Nadhani watakuwa ni maAgent wa kazi za dubai.
Kwa wenye uzoefu na kazi za Dubai na maisha ya dubai kwa ujumla, hivi mshahara wa chini ya 3000 AED unatosha kweli ukilinganisha na gharma za maisha hapo mjini Dubai?

Vipi mazingira ya kazi kwa Ajira za Airports?
Screenshot_20260208-134255.jpg
 
Back
Top Bottom