Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,

Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
Mkuu naomba connection ya kubeba box abroad, nipe muongozo vitu vya kuandaa nijipange mpaka mwisho wa mwaka.
 
Kwa namna ambavyo hizi nchi zetu za Afrika zinaendeshwa, lengo na kipaumbele cha kwanza cha kijana wa kiafrika mwenye ndoto za mafanikio sustainable ilipaswa kuhamia nchi za bara la ulaya kufanya maisha.

Tunahitaji mabalozi wa kuhama Tanzania wakutosha.

Fanyeni kuendelea kushusha nyuzi asee.
 
CCM wanazidi kuharibu nchi mkuu. Inflation ipo juu, wealth gap inapanda nk.
 
Kwa namna ambavyo hizi nchi zetu za Afrika zinaendeshwa, lengo na kipaumbele cha kwanza cha kijana wa kiafrika mwenye ndoto za mafanikio sustainable ilipaswa kuhamia nchi za bara la ulaya kufanya maisha.

Tunahitaji mabalozi wa kuhama Tanzania wakutosha.

Fanyeni kuendelea kushusha nyuzi asee.
Sema na huko kwa wenzetu sasa hivi kunaibuka upinzani mkali sana dhidi ya wageni.
 
Mkuu naomba connection ya kubeba box abroad, nipe muongozo vitu vya kuandaa nijipange mpaka mwisho wa mwaka.
Screenshot_20260208-132107.jpg

Unamillion 25 za kuacha kama bondi ubalozini?
 
Back
Top Bottom