Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Kinyume chake. Enzi hizo ukirudi mtu akikuona tu anajua.
Upo zako bar bill ikija (let's say labda ni laki moja,) ukizama mfukoni unatoa noti moja tu na chenchi inarudi.

Ila meza ya pembeni bili ikija wanatoa ten ten za kutosha na chenchi hairudi

Pisi zikiangalia zinapagawa.

Dola ina manyanyaso nyie acheni tu, kila sehemu ukienda ukalipa kwa dola lazima kuwe na ka utofauti asee.
 
Back
Top Bottom