fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 13,008
- 24,820
Hawa ni watumiaji wa madawa ya kulevya. Wanakosa muda wa kufanya kazi na kuishia kukaa mitaani muda mwingi wakiwa hawana njia yoyote ya kuwaingizia kipato. Kwa hali hiyo utakaa katika apartment ya nani bila kulipa kodi?Marekani usiyooneshwa kwenye TV