Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Nakubaliana na hoja ila sijachunguza kwa asilimia ngapi.

Wewe unafikiri Bill Gates angezaliwa Nagurukuru Tanganyika October 28 1955 angekuwa bilionea wa dunia huyuhuyu aliyetupa kampuni ya Microsoft?

Angalia namba ya mabilionea (wa US dollars) US na Tanzania.

Pia, watu inabidi waelewe tofauti ya nafasi ya kufanikiwa na kufanikiwa.
 
Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,

Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
Kipindi kile cha Kikwete wabongo nyumbani waliianza kuwa na maisha mazuri na gharama za maisha zilikuwa chini, mtu ananuna Chaser balooni kwa milioni 4 ok pina kabisa na hela nje nje na kulikuwa na wimbi la wabeba box waliorudi bongo na kufanikiwa sana maisha ndio maana walikuwa wanakandia sana maisha ya kubeba box
Baada ya kungia Magufuli, alivuruga chaneli zote na ndio huu ugumu wa maisha ulianzia hapo sasa wametia adabu na kuheshimu wabeba box
 
Nakubaliana na hoja ila sijachunguza kwa asilimia ngapi.

Wewe unafikiri Bill Gates angezaliwa Nagurukuru Tanganyika October 28 1955 angekuwa bilionea wa dunia huyuhuyu aliyetupa kampuni ya Microsoft?

Angalia namba ya mabilionea (wa US dollars) US na Tanzania.

Pia, watu inabidi waelewe tofauti ya nafasi ya kufanikiwa na kufanikiwa.
Nimekuelewa kwamba nafasi ya kufanikiwa huko Dunia ya kwanza ni kubwa kuliko Dunia ya Tatu.

Kuhusu Marekani tusiyoiambiwa au hata kuniona kupitia main stream media Ina ukweli au ni hoja za wakosoaji tu ?..
 
Marekani usiyoambiwa ipi, hii ambayo mtu anakupa link ya internet kukuonesha video za Youtube, kampuni ya Marekani?

Sasa hapo unasemaje hiyo ni Marekani usiyoambiwa?

Ukioneshwa mtu homeless yupo mtaani, hata hiyo ana mambo mengi sana mpaka kufikia hapo.

Watu wengi wamekuwa na chances nyingi sana za kufanya vizuri lakini wamezichezea na kuwa mateja, madawa ya kulevya yakawapelekea kuwa homeless.

Wengine wamepata matatizo kweli bila kuwa mateja lakini wana ubishi fulani wanataka kuishi maisha kivyao hawataki kusaidiwa na familia au serikali.

Pia, Marekani ina complex system na bureaucracy kuna wengine wanataka kusaidiwa lakini wanakosa kujua sehemu ya kupata msaada, tatizo si kukosa msaada tatizo ni kujua waende wapi. Tanzania kuna watu wengi hawapati msaada si kwa sababu hawajui waende wapi, ila kwa sababu hakuna msaada.

Kwa hivyo hata mtu homeless wa Marekani bado ana nafasi kubwa ya kufanikiwa kutoka kuwa homeless na kuwa na maisha mazuri kuliko mtu ombaomba wa Tanzania.
 
Lakini matukio ya uhalifu wa silaha wa mara kwa mara(gun violence) na ubaguzi wa rangi wa polisi dhidi ya wasio weupe hayo pia si yapo au nayo yanakuzwa kuliko uhalisia?..
 
Yapo lakini hayo pia una nafasi kubwa ya kuyaepuka kama unajipanga.

Mimi nimetoka Tqnzania, nimefanya kazi Marekani, nimenunua nyumba sehemu nzuri ambazo matukio hayo hayapo.

Na kuna watu wanakaa katikati ya milio ya risasi kila siku.

Bott9m line ni jwamba Marekani ina kila kitu, kuna states za wabaguzi, states liberal, kuna nafasi ya kubadili maisha kibao kama hupendi hapo ulipo.
 
kuna jamaa yangu yupo US tangu 2019 kwao tayari kushaanza kubadilika.
Huyo mzembe, kuna dada ni wa mtaani kwetu, kaenda US 2022 mwishoni kwao kumebadilika na ana kwake binafsi, ndinga anayosukuma sasa.

Nilijaribu kukaa nae akanipa ABC za huko mambelee, ananiambia mie natoa chozii, km najiona nikiwa ndani ya US mie kutoboa ni LAZIMAAAAAA.
 
hatari hapo minimum earn let say ni 800M za kibongo per year imagine umekaa america 10yrs kama mbeba box utakuwa na bei gani?
Mnatutia hasira wajaaa, mfanye kutupa connection hizo.
Yaani km mie mnichukue na kuniacha hapo Atlanta, mengine ntajiongeza mwenyeweee.
Daaaaah!!!
 
Marekani usiyooneshwa kwenye TV
Ingekuwa hivyo, nchi zote za kiislamu duniani watu wake wote wangekuwa matajiri hata kutibiwa hospitali ingekuwa bure na zingekuwa nchi za amani na kimbilio. T

Hapo Zanzibar, Mashekh na maustadhi wanakaribia kuanza kutembea na mawe, mafimbo na marungu kuangalia watu wanaokula mchana. Ole wako wakukute unakula kipindi cha Ramadhani na ukijifanya mkaidi wanakuua halafu ndiyo utashangaa huu ndiyo uislamu. Wakishakuua watasema hao wametumwa na Marekani na Israel
 
Ulokole na hii mada unahusiani vipi?
 
Yeah,
Ukizaliwa first world country tayari una asilimia kubwa sana ya kufanikiwa kwenye angle zote kimaisha, kimasomo, kiuchumu..nk

Hata wabeba box wengi wenye akili sawsawa waliozamia America, ulaya wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Unaposema: "wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa" unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom