Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

Ungetumia tu hekima ya kuongea na huyo jamaa...kwamba acha mchezo unaofanya tafadhali huyu ni mke wangu
Ni zaidi ya miaka miwili anamtafuta na sijawahi kuchukua hatua yoyote,mpaka nilipoamua kuchat naye
 
Kwanini mpaka mmefikia uku unamuogopa huyo jamaa?

Mkeo alipokupa taarifa ya kuwa anasumbuliwa alitegemea wewe kama mwanaume utatafuta namna mkeo asisumbuliwe tena na huyo jamaa

Kwa mfano nilitegemea umwambie amblock Kila namba atayomtafuta amblock, hasimjibu mpaka achoke mwenyew

Mpaka anawatumia picha me naona mnamwendekeza

Kulipa kisasi kuvujisha picha zake sijui haikusaidii chochote, futa hizo picha, mblock, achana naeeee
Mleta mada fanyia kazi huu ushauri, utakuja kunishukuru baadae..
 
Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa.

Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo anachoshwa na usummbufu wa Jamaa anaamua kukwambia kila kitu, Wakati mwingine akimtumoa ujumbe anakupa simu uchati naye.

Jamaa anakomaa analazimisha warudiane kwa siri, siku ya siku mkeo akiwa safarini Jamaa anaanza kumtumia jumbe mkeo, mkeo anakupa taarifa yule mtu bado ananisumbua.

Wewe mkeo mnakubaliana kufungua akaunti nyingine ya WhatsApp ambayo atapewa Jamaa kwa ajili ya mawasiliano yao, ndipo Jamaa anaanza kujieleza mengi na kufikia hatua ya kutuma picha zake za uchi nanii ikiwa imesimama.

Yeye akijua anachati na mke wako kumbe ni wewe! Nahitaji ushauri wenu tafadhali, ungekuwa wewe msomaji ungefanya nini? Utamlipia kisasi mkeo umdhalilishe kama alivyomdhalilisha ili watu waujue ukweli?
Hapo tofali zimeshushwa site!!!

Huyo si mkeo? Umemuoa kwa ndoa?
Ndoa ni agano kati yako, mkeo na Mungu

Huyo jamaa anajaibu kumchezea Mungu wako

Mtu akimchezea Mungu wako unamfanyeje?
Unamshughulikia ipasavyo, humsamehi

Fanya hivyo hivyo sahau kumsamehe na hizo picha kamwe usifute hiyo ni leverage itakufaa

Halafu hayo maoni ya Carlos The Jackal yafuate hivyo hivyo then hiyo 1M itumie na mkeo kupata Dinner moja expensive

Usifute picha!
 
Ukiona mwanamke anatongozwa ujue ameamua kwa ridhaa yake kukubali atongozwe maana wanapenda kutongozwa na wao ndo huruhusu mazingira ya kutongozwa otherwise huwezi mtongoza, hutapata hiyo nafsi na mawasiliano yako atayablock.
Kutongozwa kwa mwanamke hawezi kuzuia, ila anaweza kuzuia mazoea mara moja na asiendelee tena
 
Ni zaidi ya miaka miwili anamtafuta na sijawahi kuchukua hatua yoyote,mpaka nilipoamua kuchat naye
Kuna nafasi flani anampa uyo jamaa ndo maana anaendelea kuwasliana naye, maana navojua mwanamke akitongozwa km hana aja ya kuendelea na mawasliano anakuwa na majibu yenye msimamo ambao mwanaume mwenye akili timamu haezi endelea muda wote huo....chunguza kuna jambo utagundua afu cha kuuliza, mkeo toka umemuoa katongozwa na mtu mmoja tu? Kutongozwa hakuepukiki kwa mwanamke je, wote wanaomfuata anakwambia? Km hakuambii ni kwann huyo mmoja tuu? chunguza utarudi na majibu niko hapa napata kahawa
 
Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa.

Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo anachoshwa na usummbufu wa Jamaa anaamua kukwambia kila kitu, Wakati mwingine akimtumoa ujumbe anakupa simu uchati naye.

Jamaa anakomaa analazimisha warudiane kwa siri, siku ya siku mkeo akiwa safarini Jamaa anaanza kumtumia jumbe mkeo, mkeo anakupa taarifa yule mtu bado ananisumbua.

Wewe mkeo mnakubaliana kufungua akaunti nyingine ya WhatsApp ambayo atapewa Jamaa kwa ajili ya mawasiliano yao, ndipo Jamaa anaanza kujieleza mengi na kufikia hatua ya kutuma picha zake za uchi nanii ikiwa imesimama.

Yeye akijua anachati na mke wako kumbe ni wewe! Nahitaji ushauri wenu tafadhali, ungekuwa wewe msomaji ungefanya nini? Utamlipia kisasi mkeo umdhalilishe kama alivyomdhalilisha ili watu waujue ukweli?

Achana naye
 
Hao wamekutana kopo na mfuniko! Huyu mama anataka mumewe apate murder case, kwani hajui jinsi ya kumkataa mtu? Anachat na ex mpaka anatumiwa picha, hajui jinsi ya kublock? Na huyo mwanaume atamsaidia kumlinda mkewe kwa matongozo yote mpaka ya vijana wa bodaboda?

Mwanamke kutongozwa ni kawaida, na umri huu wa kustaafu hata sie tunatongozwa lakini ukionyesha jibu straight mnaheshimiana. Huo mchezo wanafanya ni wa hatari na sio afya kwa mahusiano yao.
 
Hujisikii hovyo kuchungulia mkia wa mwanaume mwenzio ?

Mkeo ofcourse ni muhuni, why awasiliane na wanaume wengine huko ameolewa ?

Hawa wanawake watawatesa sana.

Kama uko vizuri kipesa ongea na mwanasheria wako ili akushauri.
 
Alishajichanganya katuma moja kama alivyo ,alituma ya kwanza ikiwa haionyeshi sura nikamwambia tuma nione na sura yako akatuma.
Chukuwa hiyo picha, ikuze kwenye A4 or A3 size, toa copy.nyingi sana, tafuta anakofanyia kazi nenda saa Tisa za asubuhi bandika kila kona mazingira ya kazini, weka maandishi kwamba anatafuta watu wa kumla tigo. Hizo picha peleka mitaani kwake na kwenye vijiwe vyake vyote. Hapo atahama mii. Kila ukisikia yuko sehemu furani peleka hizo picha kwa Siri Sana. Hapo lazima akili itakaa sawa.
 
Hapa pagumu na panahitaji hekima na utulivu sana hasa ukizingatia kuwa ni mke maana ukikurupuka unaweza kufanya mambo ya kitoto sana ukaishia kujiharibia maisha hata wewe mwenyewe.

Kumbuka pia ukizimwaga hizo picha mtandaoni akikukomalia unaweza kufungwa (sheria ya makosa ya mtandao).
Labda ajiulize swali moja.
Atafaidi nini akizianika picha?
 
Hivi kama unamtaka mke wa mtu na huyo mwanamke hataki halafu wewe unatumia nguvu kubwa kumshawishi akubali,hapo tatizo ni mwenye mke ,wewe mtongozaji au mwanamke?
Aliyapa kuwa mwaminifu kwako ni mkeo
 
Back
Top Bottom