Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Nilitamani mngeuliza hivi, mke ukikuta picha za uchi za mchepuko wa mumeo utazifanyaje.
Mimi, ningeziprint vizuri nikazitaftia kila picha na frame yake, narudi nyumbani nawahamisha watoto nawaambia nendeni mkaspend time kwa bibi leo amewamiss. Nawa deport na dada yao kwa usiku mmoja ili ndani nibaki mimi na kidume wangu.
Kidume anaingia anakuta nimezibondea kwenye ukuta wake pembeni ya picha zetu za ndoa. Nimezijaza na kordoni hadi chumbani yani kila anapotupia jicho ni picha za mchepuko wake. Af nampokea na bashasha kama zote. Hapo nimempikia candle light dinner. Akiniuliza hiki nini namwambia kwani si ni picha kama hizo za kwetu tu mpenzi wangu.
Wewe kama mwanaume utafanyaje utanimeza?🤭😅
Ikatokea amefanya fujo namwambia basi ngoja nikamalizie na stock iliyobaki maana hazijaisha🤭 povu ruksa